guzman_
JF-Expert Member
- Jan 27, 2016
- 1,268
- 2,310
Ni matumaini yangu wote mu wazima!!!
Nimejitokeza hapa kutafuta rafiki wa kike wa kuchart nae, ila
1. Awe free asiwe controlled girl
2. umri wowote ila asizidi 23, ninaamini 24 nakuendelea mnalea endeleni na shughuli zenu
3. Awe anaweza kutolewa out bila bughudha atleast mpaka saa nne, sambamba na hilo awe msafi.
NOTE: Sitafuti mchumba wala mke wala girlfriend just a friend but tukipendana hamna dhambi hapo.
aliyetayari aniPM