natafuta msichana aliye serious tuanzishe urafiki ikimpendeza Mungu tuende katika upande wa pili we maisha, awe mchaji na mwenye hofu ya Mungu pia awe anayejitambua.. umri usizidi miaka 27 pia elimu atlest diploma, napendelea awe mrefu na awe mwembamba au wastani.. nipm nitakujuza kuhusu Mimi...