Wish you luck my sister umpate mwanaume umtakae nimependa the way ulivoandika post yako,u seems u so intelligent i really appricate on you japo sikufahamu..nakuombea upate mume mwema..all the best...
Nahitaji mke mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 33. Awe mkristo, elimu f6 na kuendelea. Awe na mwili wa wastani.
Kama una nia ya dhati ni pm tafadhari tuongee zaidi.
Mm ni kijana mwenye umri miaka 25 elim degree mkristo mcheshi ninajitambua natafuta msichana mwenye umri miaka kati ya18_25 dini yoyote rangi yoyote isipokuwa asiwe mweusi sana elim kuanzia 4m4...
Wanajamvi habari za leo,
Kwa hakika nimeleta wazo langu hili hapa jamvini lengo langu kubwa ni mwanamke wa kiarabu.Sifa na mambo mengine tutaeleweshana tutakapo kuwa tumewasiliana
Nina nia ya dhati kabisa na ukweli kutoka moyoni mwangu najitokeza hapa kutafuta mwanamke mwenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI ili awe mwenza wangu wa maisha na tuishi maisha ya matumaini mimi...
Ni kijana wa kiume ninamiaka 32, nimeajiriwa hapa DSM nahitaji mchumba awe kati ya miaka 25-28, mweusi, mnene pia awe mkiristo na asiwe mrefu sana.
Karibu pm
Kama wewe ni mwanamke, umri wowote na huna mtu wa kukufanya utabasamu kila wakati, njoo tubadilishane mawazo, tucheke, tutaniane kidogo na tufurahi pamoja.
Kwakufanya hivyo itakufanya uwe na...
Ni kweli natafuta mke sasa. Umri nao umeenda sasa. Kwa masuala ya details yatakuwa kati yangu na huyo atakayeni inbox. Kwa kweli najua wapo wanawake humu wengi tu na wazuri tu ambao kwa namna moja...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 47!Natafuta mwanamke mwenye maambukizi ya virus vya UKIMWI ili awe mke wangu na tuishi maisha ya matumaini sina vigezo vingine na sina ubaguzi wowote wa umri...
My love i have found this site jamiiforums it's very interesting with amazing people some understand how i feel some they don't others told me to put effort while others hates me but i can't feel...
Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninahitaji kupata mtoto na nimeonelea nitafute mwanamke/mdada ambaye yuko tayari kwa hilo kisha tukubaliane terms & conditions.
Ningependa mhusika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.