Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa. Ukiona haikuhusu potezea...
3 Reactions
114 Replies
16K Views
Dear Ladies @ JF, Hi, I am looking for a pretty girl or woman to whom we can establish a new bond/family together. She MUST POSSESS the following Qualifications: 1. Not married before, not...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za maisha walimwengu. Mie ni dada nimeolewa, na nina watoto. Nina swali. Nina mdogo wangu wa miaka 22, ninahisi ni bikra, ila sina uhakika. Kazi yake ni kupika tu home kwa mama. Wachumba...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Sifa zake: 1. Awe mkristo, anamwogopa na kumheshimu Mungu. 2. Awe ana shughuli halali ya kumpatia kipato(asiwe tegemezi) 3. Awe kuanzia na kimo kuanzia 5 7" na kuendelea (asiwe mfupiiii sana) 4...
5 Reactions
81 Replies
11K Views
Mi ni me,nipo kigoma kikazi,natafuta marafiki wa kike tu ambao nitafuta nabadilishana nao mawazo,na mungu akipenda nahusiano,umri wowote,elimu yoyote,kazi yoyote ana watoto au hana.huwezi jua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta mke wa kuanzia miaka 26-29
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi kijana miaka 32 elimu yangu ni masters level.Natafuta binti wa kuoa kuanzia miaka 22-26. Awe muislam mwenye kujitambua kuanzia mavazi nk.Awe na elimu yake awe na shahada ya ualimu, nursing...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana jamii, Natumai muwazima rejea kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni kijana wa wa miaka 21 hadi sasa nimemaliza mtihan kidato cha sita hivyo niko huru nyumbani hivyo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za usiku, Mimi ni mwanaume miaka yangu 36, naishi Dar es Salaam ukweli nina familia ya watoto watatu. Mmoja alizaliwa kabla sijaoa,na ana miaka 13 anamaliza darasa la saba mwaka huu huko...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Natafuta mwenza (mke) umri miaka 25 - 35 mwenye kujielewa , elimu kidato cha nne na kuendelea,dini yoyote. umri wangu ni miaka 35 elimu digrii kazi ni mjasiliamali naishi Dar kwa aliye tayari...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi mwalimu
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Habar wanajamvi,nahitaj marafik wa kubadilishana nao mawazo ya kimaisha ya kila cku jinsia zote.karibun sana aliye tayar anichek kwa email: josephsadock2@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta mwanamke aliye tayari kuolewa . Awe na sifa zifutazo: 1.Awe anaishi Arusha au anafanya kazi Arusha. 2. Awe mcha Mungu(Mlokole atapewa kipaumbele. 3.Awe na kazi ya kueleweka(Mwalimu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF, Rejea kichwa tajwa hapo juu. Nipo hapa kutafuta rafiki wa kike Umri 30 - 39 kwa ajili ya urafiki na kubadilishana mawazo. Aliye tayari aniPM, ili tuanze urafiki huo haraka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natafuta gal wakula nae gudtime,cna mpango wa kuoa,,akinikoleza nitadumu nae,umri usizidi miaka 28,,ntagharamia,,kama upo ni PM
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Polen wana jukwaa hili la love connect.... Mm ni kijana mwenye umr wa miaka 24 Nimejitokeza hapa kutafuta mchumba Sifa za mwanamke nimtakae... Awe mrefu wastan Rangi yoyote Asiwe mlevi Elimu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta mwanamke mwenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI awe mke wangu wa maisha! Mimi ni mwanaume mwenye miaka 48 sina ubaguzi wala masharti,mwenye nia ya dhati naomba tuwasiliane kwa contacts...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi wapendwa, Natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo; Awe muislam, umri miaka 23-35, awe anafanya kazi na mwenye mapenzi ya kweli na si kudanganyana. Mwenye sifa hizo anifollow pm
10 Reactions
158 Replies
18K Views
Back
Top Bottom