Natafuta mchumba

Sep 27, 2015
83
15
Polen wana jukwaa hili la love connect....
Mm ni kijana mwenye umr wa miaka 24
Nimejitokeza hapa kutafuta mchumba
Sifa za mwanamke nimtakae...
Awe mrefu wastan
Rangi yoyote
Asiwe mlevi
Elimu yoyote
Kabila lolote
Umr miaka 18-24
Mm ni mwajiriwa serikalin lakn pia ni mfanyabiashara mbalimbali
Natokea masasi ila naishi kibiti pwani
Kwa aliye tyar ni PM tafadhali
 
  • Thanks
Reactions: waj
Polen wana jukwaa hili la love connect....
Mm ni kijana mwenye umr wa miaka 24
Nimejitokeza hapa kutafuta mchumba
Sifa za mwanamke nimtakae...
Awe mrefu wastan
Rangi yoyote
Asiwe mlevi
Elimu yoyote
Kabila lolote
Umr miaka 18-24
Mm ni mwajiriwa serikalin lakn pia ni mfanyabiashara mbalimbali
Natokea masasi ila naishi kibiti pwani
Kwa aliye tyar ni PM tafadhali
watakuja ushofu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom