Kwa aliye tayari na seriously naomba asome vigezo hv
Awe Muislam
Awe mcha Mungu
Awe na umri 18-22
Awe na elimu kuanzia kidato cha 6 na kuendelea.
Awe muelewa na mshauri mzuri
Asiwe na stress zake...
Mimi ni mdada wa umri wa miaka 29,naishi Dodoma mjini, natafuta mwanaume ambaye makazi yake ya kudumu ni Dodoma ili tufanye maisha i really need a family now! . Mimi ni mkristo and I am a...
Habari zenu wanajamvi,
Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanaJF wote, zaidi sana wale walijitokeza nilipotoa tangazo la kutafuta Mr. Right.
Napenda kuwataarifu kuwa tumeendelea na mikakati...
Habarini,
Nakuja,humu jamvin nahitaj mke, awe na Umri kati ya 20-35,awe hajaolewa,awe amejiajiri/kuajiriwa,atakayekua na mapenz ya dhat nami,awe mkristo,atakayekua tayar kuish nami mahali popote...
Kuna mdada miaka 35 anaitaji mume mtanzania umri wake uwe miaka 45 na kuendelea hata kama ana watoto haina shida ila wasizidi 3, yeye hana mtoto
kabila lolote dini yoyote yeye, ni mkristo elimu...
Natafuta mchumba wa kike mkwel ambaye yuko tayari kutunzwa,kupendwa na kujar bila Kuchoka. Yr 29 umri wang. Chagui din,rangi wala kabIla. N Pm kwa maelezo zaid
Habari JF,
Nimejitokeza jukwaani kutafuta mchumba ambae baadae nitamuoa.
Nina miaka 30, mrefu wa wastani na kitaaluma ni mhandisi katika kampuni moja hapa Dar es Salaam pia mkristo.
Mchumba...
Habari,
Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 30
Natafuta mwanadada kwa ajili ya mahusiano ya kimapenzi tu(sio ndoa,ni mapenzi tu)
Sifa:
Awe anaishi kati ya DAR,MORO,TANGA,MOSHI au ARUSHA
Awe...
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 28, naishi Dar es Salaam,sijaoa,ni mwajiliwa,naishi Dar es Salaam,dini yangu mkristu.
Nakuja jamvini kuomba urafiki kwa yeyote mwenye sifa kama hizi: Awe...
natafuta mchumba biti wa kiislam mwenye maadili na anae jua dini vizuri awe na umri kuanzia 19 hadi 21
kwa mawasiliano anitafute kupita email yangu husseinomary0@gmail.com
Mimi ni kijana wa kiume nnaejielewa vzuri tu. Natafuta mchumba awe na umri kuanzia 24-30yrs, elimu kuanzia kidato cha nne, awe mkristo na mkazi wa Dar es salaam. Its seriously wanajamvi tuache...
Nina miaka 25, nahitaji mwanaume(sio wa Dar). Awe na miaka 27_32. Asiwe cheusi mangala, aliye tayari anipm
Nb. AWE TAYARI KUPIMA AFYA(HIV/AIDS) na magonjwa mengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.