Asalam Alaykum,
All praise is to Allah, the most beneficent, the most compassionate, the Sustainer and Cherisher of the Worlds, the Supreme.May His blessings be on Prophet Muhammad (SAW), his...
Habari ya leo!
Niko Dar, nafanya kazi, niko single, sina familia, najitegemea, nina miaka 34.
Natafuta mchumba mwenye kujiheshimu, anayejua anataka nini maishani mwake, aliye kwenye umri kati ya...
Am a man having 28 yrs, mwajiriwa goernment, mrefu, mweusi, mpole, mcha Mungu, dume halisi, mwenye uelewa na mahusiano. Binti wa vigezo hivi naoa fast 1) mcha Mungu (christianity) 2)mwenye true...
Natumaini muwazima ....
Natafuta mwanamke nitayeanza nae mahusiano then nimuoe ,..Nina miaka 30, mwanamke asizid miaka 27 ...elimu ya kidato cha nne na kuendelea ....dini kabila rangi sibagui...
Mimi ni mwanaume wa miaka 30, sijaoa bado kutokana na vipaumbele vyangu vya sasa; ila napenda niwe na rafiki wa kike wa umri wowote japo awe mrembo kweli.
Napenda sana kusikiliza music wa...
Hi all!
Nahitaji mkaka yeyote amongst you who is heart-broken,lonely na hajawahi kupata true love katika mahusiano aloingia..Either your gal cheated or left u without any reason or with foolish...
Hi brothers & sisters,i have got an opportunity to work in Mwanza city..due to that am in need of friends to exchange ideas..
both men & women are needed,if your ready plz u can PM
Thanks!!
Namtafuta girl yoyote ambaye kakaa mamtoni kwa miaka anayojua yeye,awe ana mtoto au hana haijalishi as long tukakubaliana tuende next level,....awe UK,nchi za scandanavia au zingine za Asia...
Habar ndugu zangu!! mimi na Mwanaumwe mwenye umri wa miaka 30' nimekuwa katika mahusiano lakini yasiyo na manufaa, i mean sio serious relation sababu ya aina ya wasichana wenyewe!
Now days wadada...
Habari zenu?
Nina imani kuna wadada wa kutosha humu na wakaka pia mwaweza kunipatia dada zenu..
..ninahitaji binti mmoja tu anayejitambua na kujiamini..
Nimeshajipanga kimaisha na namuhaidi...
Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.
Sifa;
Awe na Umri usiopita miaka 26
Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28 naitaji mke mwenye sifa zifaatazo
1.awe na umri kati ya 20-26 years
2.asiwe mnene sana
3.awe mkristu au aliye tayar kubadili dini
4.elimu angalu form four...
Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.
Sifa zake:
Awe na Umri usiopita miaka 40
Awe na umbo zuri na sura ya...
Kwa aliye tayari kuwa mke anakaribishwa vigezo kama vifuatavyo.
awe na elimu atleast form four
kazi si lazima awe nayo
kabila lolote
rangi yoyote
umri 20-26yrs
Kwa aliye serious aje PM tupate...
Mimi ni MWANAUME mtu mzima naitwa ROBIE.Kwa heshima kubwa napenda kutafuta mwanamke awe mtu mzima mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi,awe aliyeamua kuishi maisha ya kulinda afya na ambae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.