mkumbwa junior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 831
- 1,595
Mimi mwalimu
Weka namba basi nikupigie.mimi mwalimu
Duuuh! Atamuweza hyo aisee kwa mshaara huu wa laki tano na hapo kama ana shahadaUnataka mwalimu wa levo/ elimu gani? Kuna dada mmoja (mbichi) ni mwalimu na kamaliza PhD ya kiswahili hivi karibuni, sina taarifa (up date) kama keshapata 'bwana' ila kama unataka nikusogeze hapo kwa dada msomi mwenye PhD yake nitakupa tafu... Wala usipate shaka...
Atamuweza tu! Hapana chezea nguvu ya dyudyu wewe!Duuuh! Atamuweza hyo aisee kwa mshaara huu wa laki tano na hapo kama ana shahada
Si umkubalie tu na wewenenda cwt bae
Si umkubalie tu na wewe
kumbe ndo maana mnatuepuka sisi walimu wenzenu. Lakini mbona ni nzuri hiyo mnajikomboa kwa pamoja kuliko kuishi peke yako ukisubiri mume mwenye kazi yenye mshaara mzuri. Hatimaye unaendelea na umaskini wako au unakuwa single mum unateseka kulea mtoto peke yako. Think twice madamwalimu me ni shida hapo kajipigia mahesabu mamyy akichukua mkopo mil 12&mimi 12=24 kiwanja mil 4 hyo 20mil tumejenga wapenda kujichanga hao
kumbe ndo maana mnatuepuka sisi walimu wenzenu. Lakini mbona ni nzuri hiyo mnajikomboa kwa pamoja kuliko kuishi peke yako ukisubiri mume mwenye kazi yenye mshaara mzuri. Hatimaye unaendelea na umaskini wako au unakuwa single mum unateseka kulea mtoto peke yako. Think twice madam
Hahaa, Mwajuma kutafuta sio ishu sema inategemea na mazingira uliyopo. Mimi wilaya niliyopo hata ukiamua kufanya bihashara haziendiumeona wapi nimeansika habari ya mwenye mshahara mkubwa?? wala ti jamani nimeainisha tu hayo mambo sijamzibia rizk mtu hapo imekugusa eeehh! mshahara mkubwa sio issue kwangu je ni mtafutaji? harembi kwenye kazi basi sio mwalimu tu lakin macho yake kodo kwenye increment, daraja atanichwfua
Hahaa, Mwajuma kutafuta sio ishu sema inategemea na mazingira uliyopo. Mimi wilaya niliyopo hata ukiamua kufanya bihashara haziendi
Hilo mitumba sawa, ila kulima ni ngumu sana. Wew uko mkoa gani sasahahaha hata yakuuza maji? au hamna ahoda ya maji? kama kuna ahida ya maji nunua tank la litre5000/ vuna maji ya mvua uza ndoo 300. 5000×300=? maana kama ni kijijini sana kiwanja ni kama milion hiv! unashindwa weka room 1 uvune maji?? vipi kuku wa kienyeji hawakui? ufuta je? ukichukua mitumba mjini ukawatembezea je? au ubishoo? kama huko wanalima nunua tutumie huku tukuungishe
Hilo mitumba sawa, ila kulima ni ngumu sana. Wew uko mkoa gani sasa
Ardhi ni ngumu kuipata alafu sio rahisi kupata soko maana barabara ya kwenda mwanza ni mbovu sana ambapo tungepata soko la mazao yetu.mitumba, special za bei ya chini kama ni washamba bado! kwa nini kilimo hakifai?