nakushukuru kwa kunitakia kila la kherikila la heri ...usisahau mrejesho
Natafuta mwenza (mke) umri miaka 25 - 35 mwenye kujielewa , elimu kidato cha nne na kuendelea,dini yoyote.
umri wangu ni miaka 35
elimu digrii
kazi ni mjasiliamali
naishi Dar
kwa aliye tayari tafadhari ni PM