Mm ni kijana miaka 28 makamo niliyonayo yanatosha kuanzisha familia ivyo natafuta mchumba awe na makamo yanayoanzia miaka 24 -32 vigezo...
•Awe ana elimu kuanzia form 4
•Awe anafanya kazi yoyote...
Mimi ni kijana wa miaka 24, mfupi lakini handsome boy, girl yeyote lazma nimvutie. Nipo dar, kazi yangu ni machinga, elimu yangu fom 6. Natafuta mpenzi, uwezo wa kumgaramia elfu 20 kila wiki...
Habari zenu wanaJF,
Awali ya yote namshukuru Mungu kwa yote anayotenda kwa wanadamu wake,
Pili,shukrani zangu ziwafikie viongozi wote wa Jf kwa ujumla wao na wadau/wanajumuiya wengine wote...
Nahitaji urafiki na binti au mwanamke wa kizungu ila huwa nashindwa kuwapata kutokana na mazingira nilonayo na sina connection yoyote. Hivyo naomba mwenye uwezo anisaidie, sio kwa nia mbaya au...
Habarini wana jukwaa, Natumai mko poa.
Bila kupoteza muda niende kwenye ujumbe tajwa hapo juu.
Kuna Dada ambaye ni rafiki yangu wa karibu kwa kipindi kirefu sasa tumekua kama ndugu.
Tumekua...
Mji huu una pilika nyingi sana kiasi kwamba muda wa kukutana na chaguo la maisha unakuwa mdogo. Hivi hakuna maeneo ambayo vijana wa kike kwa wanaume wanapoweza kukutana na kubadilishana mawazo?
Mimi nina umri 27 rangi ya mwili maji ya kunde, mrefu wastani kazi yangu mtumishi wa serikali makazi kwa sasa nipo Sumbawanga Rukwa.
Nahitaji msichana mwenye upendo wa dhati na yuko tayari...
Utamjuaje kama mtu anakupenda au magumashi. Moja katika maongezi yenu mwangalie vidole vyake kama vimenyoshwa wakati wa kuongea au vimekunjwa ukiona vimekunjwa ujue kuna ulakini. Pia soma elimu ya...
Hi There,
Mimi ni mwanafunzi wa moja ya vyuo vilivyopo Dar es Salaam kwa ngazi ya Diploma ... Jinsia Ni KE, umri 21... Kwa kifupi napenda kutengeneza marafiki wapya kila siku na katika wao...
I would like to take this opportunity to thank you all for contributions you provided.
I also would like to thank all who sent pms, I tried to answer all pms as i received though I received more...
The subject refers,
I'm a man aged 27, living and working in Mwanza. I'm looking for any serious lady whom I can later make my wife.
She must be of not more than 26 years,A Christian and...
Natijokeza kwa mara ya kwanza wana JF mimi ni Mwanaume mwenye Umri wa miaka 27 ni Muhasibu natafuta mchumba ambaye atakua mke wangu vigezo awe mwalimu au Nurse Umri ni Kuanzia miaka 19-24 Rangi...
Ninaishi Shinyanga mjini. Naangalia na kutafuta fursa ya kumpata rafiki wa kike katika viunga vya mjini hapa. Urafiki huu utalenga kufikia ushirikiano wa kirafiki kulingana na mahitaji ya pande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.