Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Salaam, Hii iwafikie wanawake na wasichana wote wenye wazo na hitaji kama langu. Mimi ni mwanaume, 28 years of age, living in Mwanza. Nina kazi yangu inayoniingizia kipato na naendesha maisha...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Watu wawili hawawezi kwenda pamoja isipokuwa wamepatana. Nipo katika kutafuta wakutimiza nae hatua ya pili kati ya tatu muhimu ambazo ni kuzaliwa kuoa au kuolewa na ya mwisho ni kuondoka duniani...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sifa zangu kama ifuatavyo, mnyenyekevu, muislam, nina bachelor degree nina umri 25+yrs. Nahitaji mwanamke kwa aliyetayari kuolewa, awe na sifa zifuatazo Awe muislam. Awe na elimu ya kuanzia form...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani nimechoka kuwa mpweke Nina miaka miwili nipo single;so nahitaji msichana mwenye mapenzi ya dhati; umri kati ya miaka 20 mpka 25;
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mamb zen, nipo hap kwa kumtafuta kibabu cha umri kuazia miaka 80 mpk 100, natak chakuenjoy nae sikukuu yavEid tu, aliyotayr aniPM
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wana jf, Mimi ni kijana wa kiume naishi dar nimeajiriwa na taasisi ndogo ya fedha dar,natafuta mchumba ambaye yupo serious mwenye vigezo vifutavyo 1.awe mkisto 2.awe mrefu wastani na mnene...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume;naishi dar nafanya kazi taasisi moja ya kifedha hapa jijini dar,nafuta mchumba ambaye yupo seriousy takakae kuja funga naye pingu za maisha Vigezo Awe mweusi na mnene...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama maada inavyojieleza. Mimi jinsia yangu ni me. Nahitaji na mwanadada msomi mpweke wa kubadilishana mawazo. Na kupeana mawazo namna ya kukabiliana na changamoto za maisha aliyetayari...
1 Reactions
4 Replies
968 Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 Natafuta msichana wa kumuoa VIGEZO 1.Awe na miaka 18~25 2.Awe tayari kuishi popote 3.Awe na heshima zake Mwenye Vigezo Hivyo aje PM
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani ninatafuta mke kwa aliyeserious ili mfungo ukiisha tuje tufunge ndoa. Masharti kama ifuatavyo Awe muislam Umri 18-26 Awe na upendo wa kweli Kabila lolote Kwa aliyeserious ani PM kwa...
0 Reactions
3 Replies
883 Views
Jamani wana jm naomba leo tulijadili suala hili,inakuwaje watu mlikuwa wapenzi kwa muda mrefu,lakini inapotokea uhusiana kwisha, yule anaeachwa anaanza kutoa maneno mengi ya kashifa matusi, na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Namtafuta Raymond Benedict kitagama! Mara ya mwisho niliskia Yuko mwanza mwenye taharifa zake anijuze. Tumepotezana miaka mingi
0 Reactions
1 Replies
746 Views
Am a male aged 30 years am looking for girls to chart and exchanging views but adhere age not less than 18 kama umekubali ni pm
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Natafuta marafiki wa kike wa kuchati nao, ila urafiki ukija na nia yako nyingine haitapokelewa. Kama uko tiyari nitumie contact inbox. Thanx
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 28,elimu yangu ni chuo kikuu,rangi yangu mweupe kiasi,urefu ni wastani pia nina mtoto . Mwanamke mwenye vigezo vifuatavyo aje Pm, 1.Awe na umri kuanzia 18-26...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mambo vipi wananaMMU Napenda nchukue wasa huu kutangaza kuwa natafuta rafiki mwana MMU wa kike,no condition and terms wote mnakaribishwa am new member by the way. Naomba kuwasilisha. Asante
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Hi my name is Princess aged 31 looking for a serious male friend, am a single mother and i am in need of single dad so that we can make a good relationship.
3 Reactions
54 Replies
6K Views
Mimi ni mwanaume 31,naishi Dar. Nahitaji binti yeyote mwenye hofu ya Mungu aliye tayari kuanza maisha ya ndoa. Mimi ni Mweusi,mrefu,mwembamba wa wastan na mtanashati.nina elimu ya chuo na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom