Namna ya vijana wa kiume/kike kukutana kutafuta wenza wa maisha

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,291
2,466
Mji huu una pilika nyingi sana kiasi kwamba muda wa kukutana na chaguo la maisha unakuwa mdogo. Hivi hakuna maeneo ambayo vijana wa kike kwa wanaume wanapoweza kukutana na kubadilishana mawazo?
 
Badoo, Facebook, jamiiforums. N.k
Kwani waliyoko mitaani, misikitini, makanisani, vyuoni, club na sehemu zote unazozijua ndiyo hao hao waliyopo kwenye mitandao ya kijamii.
 
Mwenza hupatikana popote hata ndani ya daladala...Hujaona dada anajikwa jamaa kitendo cha kwenda kumwinua tu..pale pale wanakuja kuwa mke na mume ila unaweza imagine jinsi walivyokutana...
Sio bongo...
 
ImageUploadedByJamiiForums1458222125.376221.jpg


Haya usilie sana mzee mwenzangu fursa hiyo hapo
 
Back
Top Bottom