Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 299,611 752,018 Jul 1, 2016 Thread starter #4 Mauja said: Mkuu umekumbuka nn usiku huu Click to expand... Duu nilikuwa na reply post ya Valentina nikajikuta nimeanzisha uzi Moderator tafadhali naomba unganisha na ule uzi wa Njiwa
Mauja said: Mkuu umekumbuka nn usiku huu Click to expand... Duu nilikuwa na reply post ya Valentina nikajikuta nimeanzisha uzi Moderator tafadhali naomba unganisha na ule uzi wa Njiwa
ndege JOHN JF-Expert Member Aug 5, 2015 21,536 51,242 Jul 1, 2016 #5 Dah mshana ume ni touch sana kusikia hii nyimbo mpk machozi yanataka yaanze kunilenga
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 299,611 752,018 Jul 1, 2016 Thread starter #6 Babu JP said: Dah mshana ume ni touch sana kusikia hii nyimbo mpk machozi yanataka yaanze kunilenga Click to expand... Na ule wa macho yanacheka moyo unalia
Babu JP said: Dah mshana ume ni touch sana kusikia hii nyimbo mpk machozi yanataka yaanze kunilenga Click to expand... Na ule wa macho yanacheka moyo unalia
L Levictus JF-Expert Member Aug 16, 2014 646 524 Jul 1, 2016 #7 mshana jr said: Click to expand... Taarabu ya zamani ilikuwa nzuri na inavutia sana
L Levictus JF-Expert Member Aug 16, 2014 646 524 Jul 1, 2016 #8 mshana jr said: Cc: Valentina Click to expand... Hivi nani alieimba huu wimbo?
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Apr 23, 2015 18,945 67,565 Jul 1, 2016 #9 Levictus said: Hivi nani alieimba huu wimbo? Click to expand... Patricia Hillary
L Levictus JF-Expert Member Aug 16, 2014 646 524 Jul 1, 2016 #10 Mussolin5 said: Patricia Hillary Click to expand... Ooooh, thanks. Napenda sana na zile za Issa Matona
Mussolin5 said: Patricia Hillary Click to expand... Ooooh, thanks. Napenda sana na zile za Issa Matona
Bailly5 JF-Expert Member Mar 11, 2015 16,450 35,177 Jul 1, 2016 #11 mshana jr said: Na ule wa macho yanacheka moyo unalia Click to expand... Kaka mkubwa
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 299,611 752,018 Jul 1, 2016 Thread starter #12 Th Name said: Kaka mkubwa Click to expand... Tunapumua kikubwa roho
Bailly5 JF-Expert Member Mar 11, 2015 16,450 35,177 Jul 1, 2016 #13 mshana jr said: Tunapumua kikubwa roho Click to expand... Ni vizuri pia kaka
P Percival JF-Expert Member Mar 23, 2010 3,658 2,596 Jul 1, 2016 #14 muziki wa mwambao - huu ni classic
tetee JF-Expert Member Apr 22, 2012 784 862 Jul 2, 2016 #15 mshana jr said: Click to expand... Hadi kwenye taarab Umo !! Safi lakini ka chokoraa