Mimi ni kijana wa miaka 34 natafuta msichana wa kuoa niko Kigoma sifa awe na nidhamu na mcha Mungu na awe maji ya kunde au mweupe awe na nyama nyama na siyo kimbau mbau..... Aje in box.....
Am above 40 yrs, natafuta rafiki / mpenzi mwenye hofu na Mungu, mjasriamali au mfanyakazi anayejitoshereza na kujiheshimu, umri up to 35 yrs
yeyote alie tayari kuanza huu urafiki...
Ndg wana JF,
Habari za jioni!
Kama ilivyo title hapo juu. Kwa kunifahamu zaidi nina umri wa miaka 21, ni mmasai, nina shahada ya masomo ya sayansi (chem&maths) ni mkristu
kwa hayo machache...
mim ni msichana mwenye umri wa27 nahitaji mwanaume mwenye hali kama yang ili tuanzishe familia naomba mwanaume yoyote aliyetayar ila asiwe tegemez coz mim pia nmwajiriwa wakipato cha kati meng...
Nina miaka 24, naishi Morogoro, hasa Mzumbe, nipo mwaka wa pili chuo, nahitaji kuwa na mahusiano na msichana yeyote atakayejisikia kuwa nahitaji kuwa na mtu wa kumpenda na kuwa future nae.
Sina...
Hi,
I'm a man ageing between 23-26 years old and 178 cm tall. I'm currently a student at a certain institute here in Dar.
I would like to meet my life partner ageing 18-25 years old, I would...
Kwa jina naitwa Jonathani nipo Geita, kazi yangu mkulima. Natafuta mke wa kuoa awe mcha Mungu mwenye elimu kuanzia form 4 na kuendelea mrefu kuanzia futi 6.5 nakuendelea maji ya kunde au mweupe...
Me nikijana nina umri wa miaka 27 ni muajiriwa wa sector binafsi ya Mali asili nina kipato cha kukizi maitaji yote.
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo;
Rangi yoyote.
maziwa yawe sio makubwa au...
Natumai mu wazima kabisa. Nilileta uzi wangu hapa wa kupata mume mwenye hitaji, lakini mpaka sasa bado sijapata mwenye upendo wa kweli. Awe na umri kati ya 34-40. Karibu pm
Mimi mwanaume mtu mzima umri wangu kati ya miaka 45-50 Natafuta mke nina upungufu wa nguvu za kiume na nina uume mdogo kwa mwanamke anayejali tuwasiliane kwa 0714560515 au email adress...
Kwa kweli kuna watu wanaharibu maana nzima ya love connect ni bora mtuachie jukwaa haiingii akilini kuona kuwa mtu anafanya haya;
1. Ukitafutwa pm hujibu meseji.
2. Ukitoa namba inakuwa ya mtu...
Nina mpenzi wangu ananizidi umri kama miaka 6 ivi, yeye anamafanikio mazuri tu ambayo yanaweza kumuingizia kipato. lakini mi ndo ivyo xina kazi yoyote, xaxa kila napompigia cm hapokei na hata...
Habari zenu,
Mimi sifa zangu kama ifuatavyo nina degree ya kwanza ya sayansi, ni muislam nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo.
Awe muislam
Awe angalau ameishia form iv na kuendelea pia awe...
Mimi ni Mwanaume
Umri: Miaka 29
Elimu: Degree
Kazi: Employed
Dini: Mkristo
Kwa ufupi natafuta msichana alie single but awe anajitambua, elimu yoyote. . Tukikubaliana na kuelewana Mungu akijaalia...
Mimi ni Mwanaume
Umri: Miaka 30
Elimu: Degree
Kazi: Employed
Dini: Mkristo
Kwa ufupi natafuta msichana alie single but awe anajitambua, elimu yoyote. . Tukikubaliana na kuelewana Mungu akijaalia...
Hello,
Naamini mwenza anaweza patikana popote na humu pia naamini wapo walio serious na uhitaji wa kweli.
Mimi ni msichana, umri wangu 27, mkristo na black in colour
Kama Mungu atapenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.