Mke anaitajika

Mke anaitajika

solanum

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
203
Reaction score
99
Jamani ninatafuta mke kwa aliyeserious ili mfungo ukiisha tuje tufunge ndoa.

Masharti kama ifuatavyo

Awe muislam
Umri 18-26
Awe na upendo wa kweli
Kabila lolote

Kwa aliyeserious ani PM kwa maelezo zaidi.
 
Kukurahisishia kidogo eleza na status zako cunajua tena ma.she wackuiz
 
Unatembelea makalio?
Una mkwanja wa kumwaga?
Unajua kuhonga?

Si unajua tena wadada wamjini walijisemeaga mwanaume pesa,mengine watavumilia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom