Natafuta mchumba/mke mtarajiwa

medicine

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
216
137
Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 28,elimu yangu ni chuo kikuu,rangi yangu mweupe kiasi,urefu ni wastani pia nina mtoto .
Mwanamke mwenye vigezo vifuatavyo
aje Pm,
1.Awe na umri kuanzia 18-26
2. Awe mkristo mwenye hofu ya Mungu
3. Awe mwajiriwa/ au mwenywe shughuli yoyote halali ya kumwingizia kipato
4. Awe hana mtoto
5.Mwonekano wake asiwe mfupi,asiwe mweusi sana,awe na rangi natural sipendi wanawake fake
6.Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea (anayejielewa na mwenye kiu ya maendeleo kimaisha)
7.Kabila lolote sibagui
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom