Natafuta mchumba wa Kiislam, umri usio zidi miaka 22, awe mzuri na mwenye kujitambua, elimu nataka kuanzia form Six na kuendelea, nataka anaeendelea kusoma au aliyeajiliwa au aliye jiajili, kama...
Nina miaka 28, nimeokoka natafuta mke tutakayekubali kuishi pamoja. Umri kuanzia 22-26, elimu atleast form Six and above, awe mkristo na aliyeokoka.
Ni PM kama utakuwa tayari
Kukejeli si kuzuri...
Habari,
Naitwa Brian, mwanaume, ni mwalimu wa Sekondari nipo Dar, miaka 31, natafuta mchumba (Mwanamke) na awe Mkristo (RC) au dhehebu lolote, awe Mcha Mungu na asiwe mtu wa mambo mengi (mambo...
Natafta mrembo aliye tayari kunizalia mtoto.
Nita toa huduma zote wakati wa ujauzito wake adi malezi na makuzi ya mtoto.
Sifa:1.Awe ni mtumishi wa serikali
2.Awe mkristo...
Mimi ni mwanamke wa kiislam natafuta mume wa kiislam tu
Miaka yangu ni 30-35
Mume naemtaka awe 35-40
Awe mchapa kazi mwenye kujishughulisha na maendeleo
Awe mtu wa dini asipende zinaa wala shirk...
Habari zenu jamani,
Natafuta mke wa kuoa awe angalau na sifa zifuatazo;
1. Awe na nia ya dhati ya kuwa married na sio tu kwa sababu shost zake wameolewa.
2. Umri kuanzia miaka 20 hadi 27 tu.
3...
Hivi wale wenye ID tulizozoea ndio kusema hawana shida ya wachumba au ndio hawa wanakuja kivingine? Mimi siku nikiona old ID kama ya miss chagga atoto Valentina zinatafuta mchumba nachangamkia...
Habari wana love connect.
Natafuta mke wa kuoa Niko serious kabisa Ngoja nitaje sifa zangu halafu niainishe za ninayemtaka
Sifa zangu kwa uchache
+Nina miaka 32
+Mrefu ft6 mweusi mwembamba kiasi...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana wa kiume natafuta mchumba wa kike mwenye vigezo vifuatavyo;
1.Awe mweusi mnene wa wastani na urefu uwe wa wastani.
2.Awe mkiristo.
3.Awe mfanyakazi hususani Nurse...
Mie ni mwanaume mwenye miaka 30, nahitaji mwanamke wakuzaa nae, awe mwenye umbo saizi ya kati, anaejielewa, mweupe wa asili, mrefu kiasi, aliye tayari kuzaa, umri miaka 25 hadi 30. Aliye serious...
habari waungwana,,,anahitajika mchumba mwenye haya yafuatayo:
- awe muislam na mwenye imani ya dini
-kuanzia miaka 30 up to 40
-mwenye malengo hasa ya kuwa na familia na kuwa na kizazi chema...
Mimi ni kijana mwanaume mwenye umri wa miaka 30 nipo dar nina elimu ya juu ninatafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 27 hadi 40
Karibuni inbox kwa aliye serious
Umri wangu ni miaka 23 na ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo kimoja hapa nchini.Ni mwanaume mchapa kazi na nwenye upendo wa dhati.Msichana nae muhitaji awe mdogo kiumri kiasi kuliko Mimi...
Umri wake usizidi miaka 24 awe mwajiriwa. Sifa zangu umri wangu 26 mwajiriwa serikalini elimu yangu diploma aliye serious tu anicheki 0658778422 au 0745645518
Ni serious kabisa waungwana nataka kuoa.
Mipango ya kuoa itafanyika haraka sana.Vigezo ni kawaida, awe na miaka 23-26, mweupe au maji ya kunde. Pia akiwa mwalimu ni vizuri zaidi,apatikane...
Mimi ni kijana wa 26ys, naishi Dar. Nimejitokeza hapa kutafuta mwanamke mwenye mapenzi ya kweli umri wowote kabila lolote, kinachotakiwa awe na mapenzi ya dhati, kwa aliye serious anakalibiswa PM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.