Natafuta mchumba wa Kiislam, umri usio zidi miaka 22, awe mzuri na mwenye kujitambua, elimu nataka kuanzia form Six na kuendelea, nataka anaeendelea kusoma au aliyeajiliwa au aliye jiajili, kama haupo serious usije PM, mimi ni mtumishi wa Uma.
Asanteni.
Asanteni.