Blessed Jr
Senior Member
- Nov 17, 2016
- 134
- 236
Habari,
Naitwa Brian, mwanaume, ni mwalimu wa Sekondari nipo Dar, miaka 31, natafuta mchumba (Mwanamke) na awe Mkristo (RC) au dhehebu lolote, awe Mcha Mungu na asiwe mtu wa mambo mengi (mambo ya Kidunia),
Awe na umri kuanzia miaka 23-28.
Karibuni.