Anahitajika mchumba mpaka kuwa mume

Anahitajika mchumba mpaka kuwa mume

mkulubule

Member
Joined
Aug 3, 2016
Posts
70
Reaction score
46
habari waungwana,,,anahitajika mchumba mwenye haya yafuatayo:
- awe muislam na mwenye imani ya dini
-kuanzia miaka 30 up to 40
-mwenye malengo hasa ya kuwa na familia na kuwa na kizazi chema
-mwenye kujitambua na akili za utu uzima na kujua nn maana ya ndoa
-mfanyakazi kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe
- mrefu kiasi,mwembamba kiasi

sifa za mwanamke ni;
- degree
- mfanyakazi(ameajiriwa)
-miaka 30
-muislam na mwenye imani ya dini
-mfupi kiasi na si mnene sn,mweupe kiasi.

* DINI IZINGATIWE
* ANAEFAA AJE PRIVATE.
 
Ngoja nije ila mi sina degree ila Nina Hela za Mbonga
 
Tuanze na wewe kwanza una nini?
kitu chenye thamani kubwa ulicho nacho ni nini??[emoji12] [emoji12]
 
habari waungwana,,,anahitajika mchumba mwenye haya yafuatayo:
- awe muislam na mwenye imani ya dini
-kuanzia miaka 30 up to 40
-mwenye malengo hasa ya kuwa na familia na kuwa na kizazi chema
-mwenye kujitambua na akili za utu uzima na kujua nn maana ya ndoa
-mfanyakazi kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe
- mrefu kiasi,mwembamba kiasi

sifa za mwanamke ni;
- degree
- mfanyakazi(ameajiriwa)
-miaka 30
-muislam na mwenye imani ya dini
-mfupi kiasi na si mnene sn,mweupe kiasi.

* DINI IZINGATIWE
* ANAEFAA AJE PRIVATE.
Nipo Tayari mimi hapa,am 42,nimeajiriwa private sector,nina watoto wa 2 na mke tuliachana,urefu 5ft 13 inches,si mwembamba si mnene!mi muislamu,naomba usini pm unijibu hapa hapa kama nimefanikiwa ili baadaye tuhamie pm!maana nimezidi miaka miwili!
 
kama upo serious plz njoo inbox.
 
kwa wembamba hapa nimekosa coz me niko na mwili but wa kimazoezi zaidi , coz nami natafuta mwandani
 
Nipo Tayari mimi hapa,am 42,nimeajiriwa private sector,nina watoto wa 2 na mke tuliachana,urefu 5ft 13 inches,si mwembamba si mnene!mi muislamu,naomba usini pm unijibu hapa hapa kama nimefanikiwa ili baadaye tuhamie pm!maana nimezidi miaka miwili!
5ft 13 inches.....[emoji55] [emoji55] we jamaa wewe vipimo vya nchi gani hivi....12 inches = 1 ft......

Anyway anakuja lakini mwenyewe.......
 
habari waungwana,,,anahitajika mchumba mwenye haya yafuatayo:
- awe muislam na mwenye imani ya dini
-kuanzia miaka 30 up to 40
-mwenye malengo hasa ya kuwa na familia na kuwa na kizazi chema
-mwenye kujitambua na akili za utu uzima na kujua nn maana ya ndoa
-mfanyakazi kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe
- mrefu kiasi,mwembamba kiasi

sifa za mwanamke ni;
- degree
- mfanyakazi(ameajiriwa)
-miaka 30
-muislam na mwenye imani ya dini
-mfupi kiasi na si mnene sn,mweupe kiasi.

* DINI IZINGATIWE
* ANAEFAA AJE PRIVATE.

mkuu mm nna vigezo vyote.
 
Mimi nimkristo ila Nina baby wawili na degree pia km uko tayari njo inbox tuongee
 
Hivi Dunia hii ya Leo bado kuna watu mnaangalia vigezo vya udini kwenye mahusiano??
Umechelewa sana!! True love haiwekewi uzio Na dini??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom