Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Hellow, Naitwa Patrick wa Dar natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo; Mvumilivu, mpole, mtiifu, mcha mungu, sina ubaguzi wa kabila wala dini, elimu, hata akiwa na mtoto sio mbaya, umri...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-28 awe na shughuli inayomwingizia kipato aliye tayari tuwasiliane pm
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar za jion wanajukwaa! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 ninaishi mwanza! Ninatafuta mwanamke mweny vigezo vifuatavyo 1:Anizid umri kama miaka mitatu na kuendelea 2:Awe mtanzania 3:Awe...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Are u a lovely girl of this type?
0 Reactions
3 Replies
785 Views
Hakuna kitu kinauma kama umkute X wako kapendeza sana tofauti na ulivyomuacha. Unamkuta amefanikiwa kinoma. Ukimuangalia unamuona kabisa maisha kashayapatia. Na pia hakuna raha unapata kama...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
N/A This is removed by the owner of the site
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Baada ya uchunguzi wa muda mrefu hatimaye nimeweza kugundua haka kamchezo ka members wa JamiiForums kutumia ID mpya pindi wanapotafuta wapenzi je sababu nini yakuja na ID mpya? Joined today na...
1 Reactions
118 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28. Nahitaji mwanamke mwenye matatizo ya kizazi yaani ambaye hawezi kupata mtoto au amabye ana kizazi ila hatarajii...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Mimi nina umri wa miaka 35 na ndiyo niko kwenye Ujasiliamali. Muda wangu sasa wa kuwa na mke naona kuwa ndiyo huu hapa. Sijawahi kuwa na mwanamke kabla. Hivyo kwa sasa ninamuhitaji niwe naye...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu, Katika tafiti zangu za kuangalia jukwaa hili kila siku na thread zinazofunguliwa nimekuja kugundua kuna uwezekano mkubwa wa mwanamke kupata mwenza wake kuliko kwa mwanaume. Hii ni...
0 Reactions
3 Replies
830 Views
Hamjambo wanaJF, NIko na rafiki yangu mwanamme toka Mombasa anatafuta mwanamke mwenye yuko serious kuolewa na awe amesoma atleast awe na elimu ya form 4 Kenya ama Form 6 Tz.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Moneytrolly here Natafuta girlfriend Mkoa Wa mbeya. Elimu kwanzia diploma+ .., Pm please
0 Reactions
3 Replies
823 Views
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 23-28 awe na shughuli inayomwingizia kipato aliye tayari tuwasiliane pm.
0 Reactions
3 Replies
870 Views
WanaJF, Hivi kweli nyinyi mnaotafuta wachumba kupitia humu JF uwa mnawapata? Maana mimi naona sipati japo ninatafuta. Au wanaotafuta wanakuwa wanafanya mzahamzaha wakati sisi tulio serious...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta rafiki wa kike, tuweze kuongea na kubadilishana naye mawazo wa maswala ya kila siku yanayotokea duniani. Awe kwanzia umri wa miaka 21 na kuendelea. Kikubwa ni mtu wa kuwa na maongezi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hey
3 Reactions
34 Replies
7K Views
Mimi nina mke lakini kuna vitu navikosa navihitaji toka nje. Nahitaji mwanamke atakayeelewa kuwa mimi nina mke na atakayeelewa mipaka yetu. Mahusiano yetu yatakuwa ya kimapenzi na kushirikiana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hi ladies and gents, boys and girls Well let me be open Wapenzi natafuta mpenzi ila awe nje ya africa, my dreams was kuolewa na kuishi nje, Mwanaume serious umri kuanzia miaka 35 mpka 69, Ni...
4 Reactions
120 Replies
11K Views
Sifa - Si zaidi ya miaka 40 - Mkristo, mlokole atapewa kipaumbele - Awe na kipato halali, anajitegemea. - Elimu si chini ya form 4 Mimi sina uwezo wa kuzaa na nimejiajiri. Karibu tufarijiane! Kwa...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Back
Top Bottom