Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

mtuwewe

Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
47
Reaction score
25
Habari wana JF,

Mimi ni kijana wa kiume natafuta mchumba wa kike mwenye vigezo vifuatavyo;
1.Awe mweusi mnene wa wastani na urefu uwe wa wastani.
2.Awe mkiristo.
3.Awe mfanyakazi hususani Nurse au mwalimu.
4.Awe tayali kupima HIV kabla ya yote.

Kwa yeyote atakae kuwa seriousy utanichek pm kwa maelezo zaidi.
 
Yupo mbona rud kwenye new post utamuona aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom