Mwanamke mwenye mapenzi ya kweli anahitajika

Mwanamke mwenye mapenzi ya kweli anahitajika

Abcde90

New Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
1
Reaction score
0
Mimi ni kijana wa 26ys, naishi Dar. Nimejitokeza hapa kutafuta mwanamke mwenye mapenzi ya kweli umri wowote kabila lolote, kinachotakiwa awe na mapenzi ya dhati, kwa aliye serious anakalibiswa PM kwa maelezo zaidi.
 
Mbona wote mnaotafuta ni miaka 26 mwisho inakuaje?
 
Back
Top Bottom