Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

belionea

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
1,053
Reaction score
923
Habari zenu jamani,

Natafuta mke wa kuoa awe angalau na sifa zifuatazo;

1. Awe na nia ya dhati ya kuwa married na sio tu kwa sababu shost zake wameolewa.
2. Umri kuanzia miaka 20 hadi 27 tu.
3. Awe dini yeyote ile kikubwa ni dhamira yake
4. Muaminifu na anayejiheshimu, na kuheshimu wengine.
5.Anayejitambua
6. Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
7. If you're a single mother, not more than one kid ....unakaribishwa.

Sifa zangu.
1. Ni mwanaume 27 yrs.
2. Nimeajiriwa na magufuli
3.Mkristo wa Roman Catholic.
4. Nina maisha yangu na nayajua maisha.
5.Elimu yangu ni degree holder
Kama una lolote unataka tufahamiane zaidi karibu PM.

NB: Wanawake wanaojitambua tu na wenye nia thabiti ya kuwa na maisha mume na kujenga familia yenye furaha na sio bora familia.

ASANTENI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom