inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 656
- 728
Habari wana love connect.
Natafuta mke wa kuoa Niko serious kabisa Ngoja nitaje sifa zangu halafu niainishe za ninayemtaka
Sifa zangu kwa uchache
+Nina miaka 32
+Mrefu ft6 mweusi mwembamba kiasi
+Nina bachelor mwl
+Mcha Mungu mwaminifu Ila huwa nakasirikia nikiudhiwa Ila mwepesi wakujirudi.
+Nina mtoto mmoja.
Sifa za ninayemtaka
+Awe mkristo mcha Mungu aliueokoka
+Elimu yoyote kuanzia form four
+Asiwe mnene sana sitaki tipwa tipwa nataka mwembamba mpaka wastani
+Awe ana chura kiasi asiwe flat samahani Mimi siyo mhuni Ila nimetumia lugha ambayo vijana tunaijua nisijifanye mnafiki.
+Awe ana miguu mizuri iliyojaa kiasi na kunyooka.
+Awe mweupe au mweusi
+Awe na kashape Fulani hivi akivaa nguo inamkaa.
+Awe anaelewa maisha,asiwe na tamaa.
+Aside ametahiriwa wala kukeketwa.
N.B Mimi najijua udhaifu wangu na naomba vigezo vizingatiwe nisijifanye mnafiki wala mtakatifu sana.Siyo baadae unaoa halafu unaanza kutamani nasisitiza hasa kigezo cha kujaa jaa yaani hips na mkalio na miguu mizuri inayovutia iliyonyooka .
Aliye interested anipm