Natafuta mke jamani

tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
20,876
27,210
Ni serious kabisa waungwana nataka kuoa.

Mipango ya kuoa itafanyika haraka sana.Vigezo ni kawaida, awe na miaka 23-26, mweupe au maji ya kunde. Pia akiwa mwalimu ni vizuri zaidi,apatikane Arusha,kilimanjaro,Manyara na Singida. Mie mwajiliwa na nina miaka 28.

Kwa mawasiliano zaidi PM itahusika.
 
Tabu kweli,tangu chekechea mpaka chuo hadi ajirani hujaona tu mwanamke ya kuoa mpaka uanze kutafuta mwanamke gizani?
 
Daah! hii ndoa yako mmh... yan umekosa kabisaaaaa hata wale uliosoma nao had uje hapa?
 
Tabu kweli,tangu chekechea mpaka chuo hadi ajirani hujaona tu mwanamke ya kuoa mpaka uanze kutafuta mwanamke gizani?
Uliyo zungumza ni kweli ila kumbuka haya ni maisha na huwa na mzunguko wake mkubwa sana ambao kikawaida kuutambua si rahisi.

Kaka upo sahihi maana mke anapatikana popote ila kwakua umeweka uzio bac,
 
Taritibu dogo..wanawake wengi mtaani wanaangalia maslahi kwanza sio mapenzi. Kila na kheri
 
Yaani hadi umri huo hujamwona wa kukufaa? ...kumbuka ile methali ya Mchagua Nazi...au kuchamba kwingi....!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom