Mchumba anahitajika

Brigadia

Member
Nov 8, 2016
44
95
Ni matumaini yangu kila mtu yuko poa.
Baada ya kukaa nikatafakari sana nimeona maisha ndo haya haya, wakati ndo huu. Hakuna sababu ya kusubiri sana.

Mimi ni kijana miaka 27.

Nina shahada ya kwanza, nilihitimu miaka mitatu iliyopita.

Ninaishi Dar es Salaam japo sio mzawa wa hapa.

Bado sina ajira maalum lakini napata kipato cha kujikimu.

Ni muislam.

Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo:

Umri chini ya 26.

Elimu, sio chini ya kidato cha nne.

Muislam na mcha Mungu.

Tabia iliyo njema.

Bila kusahau, awe mrefu au wasitani. Sihitaji kabisa Short.

Mwenye kujituma katika utafutaji (muajiriwa simuhitaji sana, labda kama ni mwalimu nitakufikiria).

Ikikuingia akilini ukajiona unafaa basi unakaribishwa PM.
 
Brigadia

Member
Nov 8, 2016
44
95
naona taratibu sasa wanaume wasomi wenye degree zao sasa wanaona bora waoe form four ladies tuu maana hawa wanawake wenye degree full mistress....naona karibuni wanawake watacha kwenda chuo ili waolewwe
Hapana mkuu. Wasomi sio tatizo. Wanaolewa mbona. Hivyo vigezo vyangu mimi tu
 
Brigadia

Member
Nov 8, 2016
44
95
Vipi hapo mtaani, mataa wa pili na watatu hakuna wadada wenye hivyo vigezo au ndio ulikuwa domo zege ukasahau kuandaa mazingira mapema.
Usijali utampata unae mtafuta.
Mke mwema hupatikana kwenye social networks.
Mkuu sikuwa na mda wa kuandaa mazingira. Sijawahi kukaa sehemu nikatulia, nilikuwa mtu wa mizunguko na nilikuwa sijalipa kipaumbele suala la mahusiano.
Mwanamke hupatikana popote. Na kila mahusiano huwa yana hisitoria yake.
Asante.
 
_aysher

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
1,132
2,000
Ni matumaini yangu kila mtu yuko poa.
Baada ya kukaa nikatafakari sana nimeona maisha ndo haya haya, wakati ndo huu. Hakuna sababu ya kusubiri sana.

Mimi ni kijana miaka 27.

Nina shahada ya kwanza, nilihitimu miaka mitatu iliyopita.

Ninaishi Dar es Salaam japo sio mzawa wa hapa.

Bado sina ajira maalum lakini napata kipato cha kujikimu.

Ni muislam.

Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo:

Umri chini ya 26.

Elimu, sio chini ya kidato cha nne.

Muislam na mcha Mungu.

Tabia iliyo njema.

Bila kusahau, awe mrefu au wasitani. Sihitaji kabisa Short.

Mwenye kujituma katika utafutaji (muajiriwa simuhitaji sana, labda kama ni mwalimu nitakufikiria).

Ikikuingia akilini ukajiona unafaa basi unakaribishwa PM.
Aliejiajiri pia humtaki?
 
flulanga

JF-Expert Member
Jul 1, 2016
4,369
2,000
Cjawah kuona tangazo tamu kama hili ila naamini utapata humuhumu kwasababu umejieleza vizur ila jiandae kwavibomu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom