Natafuta mpenzi/mchumba wa kuoa.

irakiza

Member
Jan 26, 2015
99
16
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30,natafuta mpenzi/mchumba wa kuoa,umri kuanzia 18_27,mimi niko morogoro. Unaweza nitafuta moja kwa moja kupitia namba 0629160442. Karibuni akina dada wenye uhitaji wa mpenzi/mchumba.
 
Nakuombea lakini pls uwe serious na ukishapata usisahau kuleta mrejesho
 
Mwaka huu ukiisha wadada hamjaolewa mna yenu watu wanawatafuta mpaka jf. Poa mkuu nakuombea interview njema maana nahic watakuja wengi
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom