Natafuta mwanamke aliyetulia na mwenye maisha

fj_dom

Member
Jan 29, 2017
22
13
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31. Ni mda sasa natamani kuwa na mtu ila sipati bahati kukutana na mwanamke ambaye ana vigezo nnavyovitaka.
maana kila nikikutana na demu ni vibomu tu kama vya nyuklia.
ninafanya kazi na nimepanga, natamani nipate mdada wa umri kuanzia 26 mpaka hata 40. awe na kazi na ametulia. nimechoka kuwa single.
 
Hapo red umenifurahisha sana aiseee
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31. Ni mda sasa natamani kuwa na mtu ila sipati bahati kukutana na mwanamke ambaye ana vigezo nnavyovitaka.
maana kila nikikutana na demu ni vibomu tu kama vya nyuklia.
ninafanya kazi na nimepanga, natamani nipate mdada wa umri kuanzia 26 mpaka hata 40. awe na kazi na ametulia. nimechoka kuwa single.

Cheki na mama mtarajiwa
 
Aisee hujaweka vigezo au kigezo ni kimoja tu asikupige kibomu?
Hata mie, hicho cha kutopigwa vibomu ndio kigezo namba moja. Ishu ni kwamba, kuwe na mutual benefits ndani, sio mmoja anapeleka mwili tu, na mwingine anapeleka mwili na rasilimali nyingine. Nope
 
Tabia ndio kinabeba yote hayo. Kama anatabia ya vibomu atajituliza kwa muda usijue kisha ukishazama zaidi kila kitu kinafumuka,majuto ndio huanzia hapo.
Hata mie, hicho cha kutopigwa vibomu ndio kigezo namba moja. Ishu ni kwamba, kuwe na mutual benefits ndani, sio mmoja anapeleka mwili tu, na mwingine anapeleka mwili na rasilimali nyingine. Nope
 
taja vigezo nikupm
Naishi Dodoma, so preferrably ukiwa huku ni vizuri zaidi.
1. Dini kwangu si kigezo sana, though mimi ni mkatoliki
2. Rangi si kigezo sana, though akiwa chocolate color is much better
3. tabia ni jambo la msingi, sio kila siku club sijui bar
4. awe presentable, ajue kuongea vizuri sio sauti kama kipaza sauti wakati mmekaa meza moja
5. umri ni kuanzia 26 and above
nadhani these are the basics kwa sasa
 
Aisee hujaweka vigezo au kigezo ni kimoja tu asikupige kibomu?
Naishi Dodoma, so preferrably ukiwa huku ni vizuri zaidi.
1. Dini kwangu si kigezo sana, though mimi ni mkatoliki
2. Rangi si kigezo sana, though akiwa chocolate color is much better
3. tabia ni jambo la msingi, sio kila siku club sijui bar
4. awe presentable, ajue kuongea vizuri sio sauti kama kipaza sauti wakati mmekaa meza moja
5. umri ni kuanzia 26 and above
nadhani these are the basics kwa sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom