Nina miaka 29, elimu yangu degree ni muajiriwa wa taasisi flani nahitaji mwanamke wa kuoa vigezo awe na elimu kuanzia kidato cha nne atleast awe mwenye matokeo mazuri ili iwe rahisi kumuendeleza, sichagui dini kama tutatofautiana dini na kama hatakua tayari kubadili tutafunga ndoa ya kiserikali, umri kuanzia miaka 27-32 ninaamini umri huo atakua amekomaa kiakili, asiwe amewahi kuolewa wala kuzaa, sichagui sura wala umbo nazingatia mwenye tabia njema.
Aliyetayari njoo PM nitakujibu fasta.
Aliyetayari njoo PM nitakujibu fasta.