Natafuta mke mwenye vigezo hivi

Mimi umri wangu ni miaka 40.Nilikuwa masomoni nje ya nchi.Natafuta mke niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.Aliya tayari anipm.Dini yangu mkristo.Mke awe mkristo.Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!!!
Kirahisi hivyo?

Tafuta house girl... Kaa naye miezi sita... Moja Kwa Moja atakuwa mke na atakuongozea mtoto mmoja
 
S

Sasa masomo si umamliza ndio umuoe tena mlee watoto wenu. Kama kuna uwezekano wa kumuoa huyo matoto wako bora muoe, akina dada hawa waliomaliza university kukaa na watoto wa mtu mwingine mh sisemi
yeye penzi kwangu lilishachuja.Ananiona kama ni kama nimezeeka.Kumbuka muda wote huu nilikuwa nawatunza kwa gharama zangu.Kiufupi hata nikioa sihitji watoto wengi.Ninao wawili NITAONGEZA WAWILI kwa mke mpya na basi.
 
Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.

Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!

Aliye tayari aniPM.
Nitafute.ninalojibu.
 
Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.

Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!

Aliye tayari aniPM.
jana niliota nimeingia jf nikakuta mtu anatafuta mke nikapm tukaoana eti nina umbile na kitu uzima kabisa usijali kilo 98 sio mchezo hebu ni pm mkuu tuoane zetu hata kama umetokea bulgaria
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom