Binti wa kiislamu aliye serious kuolewa, tuwasiliane

Hussein J Mahenga

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
746
635
Habarini za wakati huu

Mimi ni mtanzania kijana mwenye umri wa miaka 26 mwenye asili ya kinyamwezi. Nafanya shahada yangu ya kwanza ya Elimu kwenye moja ya chuo kikuu hapa nchini.

Ninahitaji binti mwenye maadili ya kiislamu na awe na hitaji la kuanza maisha ya ndoa hivi karibuni. Sina vigezo vingi sana, ila tunangalau awe mwenye nia ya dhati ya maendeleo na mwenye kuthubutu. Mengine yote nafikiri tutaongea vizuri.

Mwisho, japo si mwisho kabisa, naombeni maombi yenu wadau katika hili, na kwa wanaume wenzangu hasa waliooa tayari tupeane ushauri tafadhali.

Mawasiliano.
Usihangaike kunitafuta inbox, bofya moja kwa moja tarakimu hizi.
+255 759 947 397 (ipo WhatsApp pia)
Haijalishi ume-beep, au umetuma meseji, hakika nitakujibu.

Asanteni sana
_______________
Sir H
 
Back
Top Bottom