Mwanaomayu
Member
- Jan 26, 2017
- 44
- 35
Hellow guys..natafuta rafik wa kike umri 22-26. Awe mkirsto wa roman catholic au hata lutheran. Pia awe na elimu kuanzia ya chuo, iwe diploma or degree ts ok, ambaye tayr anafanya kazi, vizur zaid akiwa government employee. Like awe mwalimu hivi, or lab techinician or any health personell. Sichagui kabila...mimi ni daktr..nipo around korogwe now. Ambaye atakua interested aje pm tuyajenge. Thanks.