Mwanamke aliye tayari aje tuanze maisha

life to be

Senior Member
May 6, 2016
154
71
1 Nina miaka 31
2 Mjasiria mali
3 Mwanamke awe na umri wa kuanzia 21hadi 27
4 Mkristo
5 Mwenye maadili ya kiafrika kwa ufupi awe na tabia njema
6 Asiwe na mtoto
7 Asiwe mtumiaji wa mikorogo yani asiwe kajichubua.
8 Ni vizuri zaidi akawa anaishi morogoro hasa mjini au karibu, . 9 awe kabila lolote . Masuala mengine kama mahali ni baadae sio kwa sasa .hata kama ana elimu ya juu au ameajiriwa au kajiajiri
asiogope aje tu pm kama atakuwa interested. Kama haupo serious na kushauri pita tu na mungu atakubariki. Karibu pm kwa mazungumzo zaid.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom