Natafuta mchumba

Boas

Member
Jun 3, 2013
31
10
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28, ninatafuta msichana kuanzia miaka 20-25, ili awe mchumba na Mungu akipenda tuje kujenga familia huko mbeleni.

Wasifu wangu;
Mimi ni mfanyabiashara ndogondogo.
Elimu yangu ni Digrii ya kwanza(Bsc).
Makazi Morogoro.
Dini mkristo Lutheran.
Kabila Mbena.
Situmii kilevi.

Msichana nae muhitaji:
Umri 20-25
Elimu form six and above.
Dini:Awe mkristo au kama muislamu awe tayari kubadili dini.
Kabilaote.
Awe anajipenda na mwenye kuvutia.
Mrefu wastani.
Asiwe mnene sana au mwembamba sana.
Asiwe tegemezi, mbunifu ni advantage kwangu.
Mwenye kujiheshimu.
Asiwe mlevi
 
Nmekuja kugundua kitu Kwamba Wasichana walio wengi cku hizi hawatak shida kabisa na wengi hawapendi kuolewa na wanaoolewa wanaachika mapema Sana.. Ninachokushauri ndugu yang Tafuta ww Kama ww Humu utaishia kuliwa hela tuu na wadada matapeli.. Ni bora Hata kumwambia rafiki yako au ndugu yako akutafutie mke kuliko Humu Mtandaoni..humu watu Wanatumia akaunt fake utajikuta unachat na midume bure
 
Thanks for your advice brother
 
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28, ninatafuta msichana kuanzia miaka 20-25, ili awe mchumba na Mungu akipenda tuje kujenga familia huko mbeleni.

Wasifu wangu;
Mimi ni mfanyabiashara ndogondogo.
Elimu yangu ni Digrii ya kwanza(Bsc).
Makazi Morogoro.
Dini mkristo Lutheran.
Kabila Mbena.
Situmii kilevi.

Msichana nae muhitaji:
Umri 20-25
Elimu form six and above.
Dini:Awe mkristo au kama muislamu awe tayari kubadili dini.
Kabilaote.
Awe anajipenda na mwenye kuvutia.
Mrefu wastani.
Asiwe mnene sana au mwembamba sana.
Asiwe tegemezi, mbunifu ni advantage kwangu.
Mwenye kujiheshimu.
Asiwe mlevi
nitafute in box
 
it depend,mvuto is the degree of interested......
Achia mbali hyo definition yako ya mvuto we niambie tu katika hali ya kawaida, ww unajiona una mvuto ata ule wa kwa mbaliiii
 
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28, ninatafuta msichana kuanzia miaka 20-25, ili awe mchumba na Mungu akipenda tuje kujenga familia huko mbeleni.

Wasifu wangu;
Mimi ni mfanyabiashara ndogondogo.
Elimu yangu ni Digrii ya kwanza(Bsc).
Makazi Morogoro.
Dini mkristo Lutheran.
Kabila Mbena.
Situmii kilevi.

Msichana nae muhitaji:
Umri 20-25
Elimu form six and above.
Dini:Awe mkristo au kama muislamu awe tayari kubadili dini.
Kabilaote.
Awe anajipenda na mwenye kuvutia.
Mrefu wastani.
Asiwe mnene sana au mwembamba sana.
Asiwe tegemezi, mbunifu ni advantage kwangu.
Mwenye kujiheshimu.
Asiwe mlevi
Kijana kamata fursa hiyoo

Moyo mpweke.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom