Natafuta mchumba baadae awe mume

Mwalimu, Mungu akujalie umpate unayemtarajia. Siku nyingine jitahidi kupitia ulichokiandika kabla hujapost; hii itadhihirisha ualimu wako.
Kwenye wengi there is no way kebehi na dharau sitakosekana, wewe jitahidi ku-absolve yote unayokutana nayo - take it easy
 
Mm ningali jitokeza lakini umesema awe mkristo na lapili nahisi usingalikubali kuja kuishi Zanzibar.
 
mim ni msichana,ni mwalimu niko shyinyanga natafuta mchuba umri miak32_38 awe mkristo, am serious sipend dharau wala kebehi, mungu awabariki,mwenyr nia ani dm
Kila la kheri "Mwalimu"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom