KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Hii ndio Taarifa mpya ya leo kutoka kanda ya ziwa ambako oparesheni 255 inatimua vumbi. Muda wa lugha laini kwenye kudai Katiba mpya umekwisha, sasa lugha kali za kikakamavu zimeanza kutumika...
3 Reactions
8 Replies
840 Views
"The best is yet to come"(Obama ,2012) ni maneno yaliyotolewa na Rais Obama katika hotuba yake siku aliyotangazwa mshindi kuongoza Taifa hilo kubwa kabisa duniani kijeshi na kiuchumi kwa kipindi...
0 Reactions
0 Replies
398 Views
Cheo cha Naibu Waziri kuu hakipo kwenye katiba iliyopo lakini Marais waliotangulia waliwahi kumteua hayati Mrema na Salim Ahmed Salim kukitumikia cheo hicho. Jana Rais Samia kamteua Doto Biteko...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Rais Amevunja Katiba? Hana Mamlaka ya Kunyang'anya Majukumu ya Waziri Mkuu na Kumgawia Mtu Mwingine.Ingekuwa hivyo Katiba ingeliweka Bayana. Ibara ya 36(1) ya Katiba ya JMT ina mpa mamlaka Rais...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Ninaandika huu uzi bila kuweka itikadi yangu ya kisiasa huku nikiwa na huzuni. Siku chache tumetaarifiwa kupitia wizara ya katiba na sheria kuwa 51% ya watanzania hawajui chochote kuhusu katiba ya...
0 Reactions
4 Replies
319 Views
Serikali imesema kuwa katika kipindi cha miaka mitatu ijayo itatumika kutoa Elimu kwa wananchi juu ya Katiba mpya. Hapa najiuliza kwa maandishi ina maana mpaka leo Wananchi hawana uelewa juu ya...
0 Reactions
7 Replies
789 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mwekezaji wa kimataifa, Mfanyabiashara Bilionea Joseph Mbilinyi ameingia Kyela na kuwasha moto wa Katiba mpya. Baada ya kuanza kuwasomea wananchi yaliyo ndani ya...
11 Reactions
59 Replies
3K Views
Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) limetoa sheria mbili za mfano kwa ajili ya mchakato wa kufanikisha Katiba Mpya ambapo wamedai kuwa uandaaji wa sheria hizo ulihusisha makundi mbalimbali kwenye...
1 Reactions
0 Replies
222 Views
Nina wasiwasi na hawa CHADEMA kuwa ni tawi la CCM ,ukiangalia kwa undani utaona wananchi tumehamishiwa kwenye bandari,mbuga na mambo mengi ambayo mwisho wa siku tunapigwa na kufungwa bao la...
0 Reactions
5 Replies
559 Views
Wanaharakati wa Katiba na Haki za Binadamu wamekosoa kauli ya Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro juu ya kutoa elimu ya Katiba kwa kipindi cha miaka mitatu, wakidai mpango huo unalenga...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa kumbukumbu zangu hii Wizara haina Waziri aliyekaa zaidi ya mwaka mmoja na nusu Taingia awamu ya tano mwishoni. Embu tusaidieni wanabodi. Kuna tatizo gani? Mawaziri wa Katiba na Sheria...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Mh Damas Ndumbaro ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria , ametamka hadharani kwamba zaidi ya 50% hawaijui Katiba ya sasa , Kwa tafsiri ya Kawaida ni kwamba zaidi ya nusu ya Wananchi hawaijui Katiba...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Nimeandika kwa kifupi , nitachangia nikiamka.
0 Reactions
2 Replies
169 Views
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa. Spika Dk Tulia ametoa...
5 Reactions
56 Replies
7K Views
Wadau wenye AKILI KUBWA tulijua mapema sana kuwa Kitendo cha CCM kuvuruga ule MCHAKATO wa KATIBA MPYA ndani ya BUNGE la KATIBA ulikuwa wa Kukataa KATIBA MPYA. Kuthibitisha hilo 1. Magufuli...
0 Reactions
3 Replies
304 Views
Amekiri Freeman Mbowe kuwa wapo makamanda wengi waandamizi kwa sasa hawamwelewi. Msimamo wetu ulikuwa mwema sana kabla ya hoja ya maridhiano. Kwamba bila katiba mpya hakuna uchaguzi. Hivi kweli...
3 Reactions
79 Replies
3K Views
Katiba iliyopo ni ya mfumo wa chama kimoja ambacho ni CCM na ilitungwa na CCM mwaka 1977. Tanzania hatuna mfumo wa vyama vingi, bali tuna mfumo wa chama kimoja (CCM), ambamo kuna vyama vingi...
3 Reactions
8 Replies
904 Views
Nakumbuka kipindi cha mchakato wa Katiba, Prof Issa Shivji akitoa Darsa kwa Viongozi wa Vyama vya Siasa, alisema Wananchi wengi hawana Elimu ya Katiba na kusema Ukienda kuwahoji wanataka Katiba...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO - ZAIDI YA ASILIMIA 50 YA WATANZANIA HAWAIFAHAMU KATIBA, ELIMU YA KATIBA KUTOLEWA KWA MIAKA MITATU "Kuna tafiti kadhaa zimefanyika na kubaini zaidi ya asilimia 50 ya...
0 Reactions
0 Replies
487 Views
Hii nchi kila kitu ni drama; waziri wa katiba na sheria na watumishi wa ofisi yake tayari wameandaa kinachoitwa kampeni ya elimu ya katiba mpya na bajeti yake inalengwa kwa mwaka wa kwanza kutumia...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Back
Top Bottom