KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Documentary nzuri sana!First class and well narrated! Sijui kama bongo tuna uwezo wa kutengeneza kitu kama hichi. Hii imenifundisha mengi na kuniacha na maswali kibao! Moja wapo ni hili: Tz...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baada ya uchaguzi Mkuu naamini kitu muhimu kinachotakiwa kufanywa na Watanzania ni kudai katiba mpya bila kujali nani ameshinda. Itakuwa ni ndoto kushindana na Kenya kimaendeleo na KATIBA ambayo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Unajua kutokana na katiba ya uchaguzi ya hivi sasa kuruhusu wapiga kura kuchagua mgombeaji badala ya chama, nadhani inaruhusu kuwepo na hii loop-hole ya wizi wa kura na wanaweza ku justfy wizi wao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KWA mujibu wa kauli ya Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Bw. Jakaya Kikwete yeye na chama chake hawana mpango wa kuridhia Watanzania kuwa na Katiba Mpya kwa miaka mitano ijayo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wa TZ majibu mazuri ya mafisadi ni kubadilisha katiba. mfano katiba mpya ya kenya ilivyomng'ata wetangula. tukifanya hivyo jk tunaye na first 11 yake including so called first lady. Slaa =...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika kutaka kuijua vizuri CCM nilikuta nakutana na document HII Mwenye macho asome mwenyewe. TO DEFEAT YOUR ENEMY, YOU HAVE TO KNOW HIM FIRST
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A seasoned university law don and human rights expert, Professor Chris Peter Maina concurs with many including senior public servants, key public figures and distinguished academics that...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
RAIA MWEMA Septemba 15, 2010Nchi, demokrasia inayumba kwa Katiba iliyopitwa wakati [1]...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo nimetumia muda mwingi sana kusoma Katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Kwa kweli nimegundua Katiba yetu ni vituko na vichekesho kabisa. Kwa kweli tusitegemee kupata maendeleo na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimejaribu kutafakari kwa kina mapinduzi ya vyama bila kuihusisha na mabadiliko ya katiba ni sawa na kucheza na majitaka,kila ukinawa bado ni mchafu.Sasa nauliza kuna ulazima wa kutetea...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mengi yamesemwa wakati Zanzibar ilipofanya mabadiliko ya Katiba yake.Hebu tuangalie makala hii na tujiulize jee ni kweli kunahitajika Katiba nyengine(ya Tanganyika) badala ya zile za Zanzibar na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna Makala iliyoandikwa na aliyejiita Charles Kayoka kwenye Gazeti la Nipashe la tarehe 18/08/2010 kuhusu kichwa cha habari kama kilivyo hapo juu. Ukitaka habari zaidi bonyeza hapa. Hata hivyo...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndugu wanabaraza, Kumekuwa na michango mbali mbali kuhusiana na hili suala la katiba ya Tanzania ya Mwaka 1984 kuwa na mapungufu makubwa. Kulingana hayo na ukiangalia watanzania toka uhuru...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Opposition leaders come up with constitution proposal The opposition yesterday announced a raft of drastic changes in a "draft document" as part of its "roadmap to a new constitution" often...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Habari ambazo zimekuwa zikitiririka kwa muda wa masaa kadhaa yaliyopita zinatuthibitishia kuwa waoga wanaongoza CCM sasa hivi. Habari za kuwa Spika wa Bunge la Muungano...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Kwa upande mwingine, katiba na sheria zetu zinakataza wananchi kuvunja Muungano, hii ikitafakariwa kwa kina inamaanisha hata kubadili mfumo wa muungano ulioko nk. Mathalani katiba inawataka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Lipumba azungumzia katiba mpya Salim Said CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kuhakikisha kuwa anasimamia rasimu ya katiba mpya yenye misingi ya kidemokrasia. Akizungumza...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
wakuu nauliza kama kuna mtu ana nondo za feudal constitution maana nataka kupanua mawazo na nimejaribu kuzisaka bila mafanikio. weka pdf nitaishusha....
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom