KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Ndugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka...
7 Reactions
125 Replies
4K Views
Mkutano wa Chadema pale Shinyanga Mjini haukuwa na msisimko kwa sababu mambo waliyoongea yalikuwa yanajirudia Mambo ya DP World yameshawasilishwa kwa Wananchi kwa upana sana kupitia Waraka wa...
10 Reactions
45 Replies
1K Views
Igweeeeee, Kama heading ya thread inavyojieleza naomba kufahamu kwa anayefahamu katiba ya kanisa la KKKT Tanzania ni kina nani ni wajumbe wa mkutano mkuu wa kumchaguwa Askofu mkuu? Kwa upande wa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Katiba ya nchi ni muafaka wa kitaifa unaoanisha namna taifa linavyohitaji kujitawala katika mambo yote na kuendesha mambo yake. Hivyo basi, Katiba ya nchi ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Asalam, Kwanza naomba nikiri kuwa pamoja na kupenda sana siasa za kimabadiliko na kimapinduzi lakini pia ni realist. Realist kwa kawaida ni aina ya watu wanaouona klukweli kama ulivyo na unaamini...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Nasema hivi, Nasema hiviiii wana cdm bado tupo imara. Kesho timu ya cdm ikiongozwa na Mwamba wa siasa za mageuzi nchini mh Freeman Mbowe kesho atatua mjini SERENGETI. Turaendelea kuuwasha moto...
2 Reactions
3 Replies
736 Views
Post in thread 'Kuuza lango la uchumi wa nchi ni usaliti mkubwa katika kuvunja katiba ya nchi, Bandari ni mali za Watanzania wote' by FaizaFoxy has been reported by The Hyper. Reason given...
0 Reactions
0 Replies
86 Views
Dar es Salaam, Agosti 22, 2023 Abdulrahman Omari Kinana, mwanasiasa maarufu nchini Tanzania ambaye aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki kuanzia mwaka 2001 hadi 2006, ametoa maoni yake...
1 Reactions
13 Replies
950 Views
Kuna umuhimu wa kuhakikisha kwamba Katiba Mpya inapatikana kabla ya Uchaguzi wowote ule , hata kama kutakuwa na gharama nyemelezi . Ujumbe wake huu hapa
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Hatimae Makamu Mwenyekiti wa CCM kasema sio lazima Tubadili KATIBA ila Tubadili Sheria za Uchaguzi kauli hii ina maana Tuendelee kuwa na Katiba iliyopo Katiba yenye Mapùngufu lukuki Katiba...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Ukitaka kujua hii nchi unafiki ni mkubwa, tazama tulivyo kidedea kuminyana na maswala ya bandari wakati swala la katiba (ambalo ndio source ya haya yote) tumesinzia. CCM na katiba leo hii ndio...
1 Reactions
3 Replies
463 Views
Kama heading inavyosomeka apo chini ni video clip ya Padri kitima akizungumzia mambo ya katiba na kutii sheria za nchi zilizopo.
3 Reactions
3 Replies
545 Views
Kanisa la KKKT linategemea kuifanyia marekebisho kadhaa Katiba yake ikiwemo Kuanzisha Chombo cha Juu kitakachosimamia Maadili ya Viongozi wakiwemo Maaskofu Aidha Askofu mkuu wa KKKT hatakuwa...
0 Reactions
0 Replies
479 Views
Baada ya mapumziko mafupi Chadema kuendeleza 255 Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu kanda ya Serengeti Tarehe 25/8/2023 watakuwa Shinyanga Mjini kwa mh Patrobas Katambi Mlale unono 😀😀
1 Reactions
4 Replies
431 Views
Tathimini ya uharifibwa mazao
0 Reactions
0 Replies
440 Views
“Kwa bahati mbaya alidhalilishwa mbele za watu kwa kuambiwa eti hajui hesabu moja na moja anasema tatu. Hivi kweli Mzee Jumbe msomi mzima hajui hesabu? Huu uruhani wa Tanganyika ndiyo fitna...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Ni mtanganyika gani asiyetaka bandari iwe na ufanisi ili kupata mapato na kuendeleza uchumi wa taifa letu? Mkataba wa DP World una ukakasi ndio maana Watanganyika tunapinga. Tuwe na Katiba, Rais...
2 Reactions
7 Replies
619 Views
Kuelekea mchakato wa Katiba Mpya ni vyema tukaanza kuangazia baadhi ya maeneo yenye ukakasi ndani ya Katiba ya sasa. Ibara ya 18(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na...
0 Reactions
1 Replies
662 Views
Mambo mengine yote kila Mtu anayajua wala hayahitaji Elimu Chadema watuelimishe faida za Serikali Moja na Serikali Tatu Ahsante!
2 Reactions
5 Replies
578 Views
Back
Top Bottom