Hatimae Makamu Mwenyekiti wa CCM kasema sio lazima Tubadili KATIBA ila Tubadili Sheria za Uchaguzi kauli hii ina maana Tuendelee kuwa na Katiba iliyopo Katiba yenye Mapùngufu lukuki Katiba...
Ukitaka kujua hii nchi unafiki ni mkubwa, tazama tulivyo kidedea kuminyana na maswala ya bandari wakati swala la katiba (ambalo ndio source ya haya yote) tumesinzia.
CCM na katiba leo hii ndio...
Kanisa la KKKT linategemea kuifanyia marekebisho kadhaa Katiba yake ikiwemo Kuanzisha Chombo cha Juu kitakachosimamia Maadili ya Viongozi wakiwemo Maaskofu
Aidha Askofu mkuu wa KKKT hatakuwa...
Baada ya mapumziko mafupi Chadema kuendeleza 255 Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu kanda ya Serengeti
Tarehe 25/8/2023 watakuwa Shinyanga Mjini kwa mh Patrobas Katambi
Mlale unono 😀😀
Kwa bahati mbaya alidhalilishwa mbele za watu kwa kuambiwa eti hajui hesabu moja na moja anasema tatu. Hivi kweli Mzee Jumbe msomi mzima hajui hesabu? Huu uruhani wa Tanganyika ndiyo fitna...
Ni mtanganyika gani asiyetaka bandari iwe na ufanisi ili kupata mapato na kuendeleza uchumi wa taifa letu?
Mkataba wa DP World una ukakasi ndio maana Watanganyika tunapinga.
Tuwe na Katiba, Rais...
Kuelekea mchakato wa Katiba Mpya ni vyema tukaanza kuangazia baadhi ya maeneo yenye ukakasi ndani ya Katiba ya sasa.
Ibara ya 18(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru
kuwa na...
Misingi yote na nchi na utawala huwekwa kwenye katiba ila pale ambapo katiba haina meno basi ni maarafa kwa nchi husika. Katiba ni msingi wa kila jambo kuanzia uwajibikaji na utunzaji wa...
Kichwa: Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania na watanzania
Katiba ni waraka muhimu unaounda msingi wa mfumo wa kisiasa na kijamii katika nchi yoyote. Tanzania, kama nchi nyingine...
Tafiti ni muhimu katika maisha yetu ya kila siku pengine ndiyo huchukua nafasi muhimu ya maamuzi katika maisha yetu.
Leo, binafsi ningependa kujua takwa/dai la katiba liko kwa kiwango kipi ndani...
Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaruhusu rais kuongoza mihula miwili (2) mfululizo kwa maana ya miaka 10.. ila ikiwapendeza wabunge wetu wanaweza wakafanya namna kurekebisha hicho...
Spika wa bunge, msemaji wa serikali na Waziri mkuu wanamjibu nani kuhusiana na hili sakata la bandari kuuzwa?
Je wanawajibu wananchi au Wabunge waliuopotasha umma au wanawajibu DP World...
Tunaitaka katiba itakayoondoa ukiritimba na udikiteta wa viongozi
Tunaitaka katiba ambayo itakuwa ni ya wananchi na siyo kuwa ya viongozi
Tunataka katiba itakayoondoa udikiteta wa viongozi...
Ni mapendekezo tu
Rais wa JMT akitoka Zanzibar Waziri mkuu awe Makamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Rais wa Zanzibar awe Makamu wa Pili wa Rais wa JMT
Rais wa JMT akitoka Bara
basi Rais wa...
Alitoa kauli hiyo baada ya ofisi yake ya msajili wa vyama vya siasa kuelekea kukutana na baraza la vyama vya siasa nchini (bila ushiriki wa Chadema). Kujadili hatua za mwanzo za utekelezaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.