Mwanzo akisema Kuna watu walikua nyuma ya hili na Kuna ndani ya waandamoji walipewa hela mwanzo sikumwamini but now naanza kumwelewa kidogo kidogo and I believe atakujalisema Believe me
Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo...
Tatizo la CCM na Samia ni kiburi tu. Familia 99% nchi 1%. Je hii ina maana gani kama nchi
1. Mzunguko wa Pesa umepungua na utapungua kwasababu uwekezaji umepungua, watalii wamepungua na...
Kulingana na Taarifa ya Wakala wa Ufundi na Umemem Tanzania TAMESA imetaarifu Umma kuwa Kivuko cha MV Kazi kinachotoa huduma katika eneo la feri kimesimama kutoa huduma zake kuanzia leo December...
Jifanyeni mnafanya mikakati yenu kwa Siri kwakuwa mnajua kuwa Wahusika labda wamejiandaa tu kwa nyakati hizi za Asubuhi hadi Jioni hivyo kudhani kuwa Wao hawana Akili basi ikifika hiyo Usiku ndiyo...
Nimesikiliza mijadala ya Waandaji wa maandamanonya Gen Z katika Tiktok na X wanagombana sana wanalaumiana kwa kuleta ujuaji na Usaliti ndiyo maana maandamano leo yamedoda kuna master Plan...
Alhamdulilah, Tumsifu Yesu, siku ya leo mitaa imetulia
Leo tunaweza kuiita ni siku ambayo tumekaa ndani tu kupumzika, huko nje kumetulia.
Lakini katika yote haya hatuwezi kusahau kuna maandamano...
Mkiwazuia watu kugoma barabarani watagomea biashara na uchumi. Sasa wataanza kugomea biashara kwa mfano walivyogoma kuunga mkono wasanii wataanza kugomea biashara na mambo ya serikali ambayo ni ya...
Habari wakuu,
Leo ni mwaka wa 53 tangu upatikane uhuru wa Tanzania bara(Tanganyika) kutoka kwa muingereza, kama ilivyo ada ya miaka mingi, 9 Desemba huwa kuna sherehe za kuadhimisha siku hii na...
MIAKA 53 YA UHURU, NI UHURU KWA NCHI
GANI?
Leo 9 Dec 2014 Ni mwaka wa 53 tangu ile nchi
iliyofahamika zamani kama Jamhuri ya watu wa
Tanganyika ijipatie uhuru wake mnamo 9 Dec
1961.
Hakuna siri...
Tanzaniza ni muungano wa nchi mbili,kuna Zanzibar na Tanganyika na wote tulipata uhuru nyakati tofauti.Inanichanganya nikisikia watu wanasema miaka 49 ya uhuru wa Tanzania.
Msaada wenu...
Nililiona bandiko la Yericko Nyerere na nikatazama michango ya member wengi wa Jf.Nilichojifunza ni kuwa wengi wamepotosha waraka huo wa Maaskofu,na pengine kwa aina ya #Pseudophilosopher kama...
Tulipokuwa tunapigania uhuru kutoka kwa wakoloni kulikuwa na mambo yetu ya msingi tuliyotaka sisi tuyapate.
Waasisi na wapigania uhuru wa Taifa letu walitaka uhuru (freedom) au...
Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile.
Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama...
Imekuwa kawaida viongozi wa CCM kupotosha ukweli kuhusu hoja ya Uhuru. Kwenye hotuba zao nyingi wamekuwa wakiiambia Dunia kwamba Tanzania ilipata uhuru tarehe 09/12/1961. Na hata tunaposherekea...
Mkuu wa mkoa Mwanza amesema kuwa mkoa uko salama mpaka leo saa 12:18 mchana hakuna tishio lolote la kiusalama, Msikilize Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda akielezea kuhusu hali ya usalama jijini...
Wanabodi!
leo tunapo sherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, ni maadhimisho ya Tanzania, japo iliyopata uhuru ile Desemba 9, ni Tanganyika na sio Tanzania, maadhimisho ya leo ni maadhimisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.