🚮🚮🚮Mchungaji Hananja amesema watanzania wanaodai maiti za ndugu zao waende wakadai Congo maana Tanzania hizo maiti hazipo.
View attachment 3512780
Eti naye ni mchungaji. Mchungaji gani huyu? Labda mchungaji wa punda!Mchungaji Hananja amesema watanzania wanaodai maiti za ndugu zao waende wakadai Congo maana Tanzania hizo maiti hazipo.
View attachment 3512780
walilifukuza uchungaji baada ya kugundua ni mental caseHafu jumapili unakuta kuna nguruwe zinajaa kanisani kwake.
Njaa mbaya,huyu ni mstaafu,sasa hivi ni mwendo wa kuganga njaa tu,ahurumiwe.Mchungaji Hananja amesema watanzania wanaodai maiti za ndugu zao waende wakadai Congo maana Tanzania hizo maiti hazipo.
View attachment 3512780
Hao mnao watembelea siku na wao wakiamua kuwatembelea mtaomba po.Mtu kama huyu hata ulinzi hana, anaweza kutembelewa kirahisi sana