PostGE2025 Bila maandamano kuundiwa sheria na muongozo; basi tutegemee machafuko kutokea kila yakitokea maandamano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mikopo Consultant

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2024
Posts
2,287
Reaction score
4,517
Kuyaruhusu na kuyarahisisha maandamano, ndo mbinu nzuri ya kuzuia machafuko yanayotokana na maandamano.

Maandamano yakifanywa kuwa kitu cha kawaida kwa watanzania; basi ustaarabu wa kuandamana utajengeka kwa watanzania; kwa makundi mbalimbali kwenye jamii (wafanyakazi, wanafunzi, wazee, vijana, watoto, wastaafu, wafanyabiashara) kuitumia ili kutoa madukuduku yao.

Kukiwepo sheria na miongozo, maana yake itaelekeza maandamano ya kundi fulani (mfano: wafanyabiashara) kwamba kama yanahusu kodi, basi eneo la kukutania liwe TRA, na ujumbe wa maandamano utapokelewa na kiongozi wa TRA. Vivo hivyo kwa wanafunzi, walimu, wastaafu, wasani n.k; miongozo na sheria itaonesha wazi namna yatavyoratibiwa na namna upande wa serikali utavyochukua ujumbe kutoka kwenye maandamano.

Kwa sasa, japokuwa maandamano yanaruhusiwa kikatiba, ila hayana miongozo iliyowazi; matokeo yake ni yale yaliyotokea MO29; yakawa ni maandamano ambayo serikali na waandamanaji wote wakajikuta wamevunja sheria na machafuko yalitokea.

Kukiwa na sheria na miongozo ya wazi; itakuwa ngumu sana kufika hatua ya kuwa na maandamano yenye machafuko.

Na pia, ukishaweka miongozo na sheria wazi za maandamano; hiyo itaongeza uwajibikaji wa taasisi za serikali ambazo ni walengwa wa maandamano, kama: TRA, Tume ya Uchaguzi, NECTA, Halmashauri, Tume ya Wastaafu n.k kwa sababu sheria itaweka wazi kwamba: viongozi wa taasisi ambazo ni walengwa wa maandamano, wanawajibika kupokea malalamiko ya waandamanaji na kutoa ahadi ya kutatua.

Ikiwa hivo, maandamano yatakuwa ni chanzo kuzuri cha utatuzi wa kero kwenye makundi mbali mbali ya kijamii. Na hii nafikiri ndo maono makuu ya mwandishi wa katiba ya JMT. Kile kifungu cha kuandamana hakikuwekwa pale bahati mbaya.

Mbinu inayotumika sasahivi: ya kuyanajisisha na kuyaharamisha maandamano, ni kutengeneza bomu la machafuko makubwa kwa Tanzania ya kesho, na ikumbukwe kwamba Tanzania ni nchi yenye ongezeko la kasi sana la idadi ya watu, maana yake, intensity ya bomu la machafuko ya maandamano litazidi kuwa kubwa kadri muda unavyozidi kusonga mbele. Kwa sababu, utajikuta hasira za makundi mbalimbali ya kijamii, zinaungana kwa pamoja, ndo sababu utajiuliza kwa mfano, ni kwanini ofisi za TRA ambazo hazihusiki na siasa, nazo zilipigwa kiberiti ile MO29? Hiyo wazi inakueleza ilikuwa ni hasira na kero za wafanyabiashara, walioutumia mwanya wa MO29 kutoa hasira zao.

Tunakosea kuona kwamba mtunga katiba alikosea; maandamano ni haki, na ni wajibu yawekewe sheria rasmi na miongozo.

Wenu
MC
 
Tunakosea kuona kwamba mtunga katiba alikosea; maandamano ni haki, na ni wajibu, yawekewe sheria rasmi na miongozo.

Wenu
MC
Tatizo hata ukiweka sheria ,kwenye msafara wa mamba lazima na kenge wawepo.
 
Sheria na muongozo ipo.

Inapuuzwa na ndio maana nchi imekuwa CONGO.

Utawala wa sheria umekufa mdio maana tuko hapa
 
Mwanzo mgumu, ila kadri unavyoyaruhusu kwa makundi mbali mbali ya kijamii, maana yake ustaarabu utakuwa unajijenga taratibu. Hali ingekuwa tofauti sana. Kwa sababu, yakiwa kwa makundi mfano walimu au wastaafu, hapo unaona kabisa kwamba hata polisi wataweza kuyalinda mwanzo mwisho.

Style ya kuyazuia kabisa ndo kosa kubwa lililofanywa na utawala. Hi nchi ikishakuwa na vijana milioni 70 hapo miaka michache ijayo, hapo ni bomu la hiroshima.

Naona watu wanafurahia kwamba leo polisi wameshinda kuwadhibiti waandamanaji, ila miaka 5 hadi 10 ijayo, hata ukiwa na polisi laki 5 hawataweza kuwadhibiti vijana milioni 70 wenye jazba, madukuduku na hasira ya kunyimwa haki ya kuandamana.
 
Sheria na muongozo ipo.

Inapuuzwa na ndio maana nchi imekuwa CONGO.

Utawala wa sheria umekufa mdio maana tuko hapa
Najua kwenye katiba kuna hicho kifungu, ila nina wasiwasi ikiwa tuna sheria rasmi ya maandamano na guidelines. Achana na hili sharti la kuomba kibali ambalo hata hivo halipo wazi, maana wengi tu walishaomba vibali na hata barua hazikujibiwa.
 
Mwanzo mgumu, ila kadri unavyoyaruhusu kwa makundi mbali mbali ya kijamii, maana yake ustaarabu utakuwa unajijenga taratibu. Hali ingekuwa tofauti sana. Kwa sababu, yakiwa kwa makundi mfano walimu au wastaafu, hapo unaona kabisa kwamba hata polidi wataweza kuyalinda mwanzo mwisho.

Style ya kuyazuia kabisa ndo kosa kubwa lililofanywa na utawala. Hi nchi ikishakuwa na vijana milioni 70 hapo michache ijayo, hapo ni bomu la hiroshima.

Naona watu wanafurahia kwamba leo polisi wameshinda kuwadhibiti waandamanaji, ila miaka 5 hadi 10 ijayo, hata ukiwa na polisi laki 5 hawataweza kuwadhibiti vijana milioni 70 wenye jazba, madukuduku na hasira ya kunyimwa haki ya kuandamana.

Nakukatalia kusema kwamba polisi wameshinda ,hapana ,kurudisha mpira kwa kipa au kuweka kwapani hauwezi kusema umeshinda ,unawafungia watu na kuwaambia hakuna kutoka then unasema umeshinda how?

Wangewaacha watu watoke then mpambano field hapo ndiyo utafanya conclusion na kwa kifupi hakuna jeshi lilowahi kushinda zidi ya wananchi wenye hasira...Utaua 200 lakini waliobaki watakufa na wewe ukiwa na bunduki yako mkononi.
 
Mkuu kwani polisi wamekuja kupiga komeo hapo nyumbani kwako?

Watu tupo wengi Mlimani City hapa msogee
 
Nakukatalia kusema kwamba polisi wameshinda ,hapana ,kurudisha mpira kwa kipa au kuweka kwapani hauwezi kusema umeshinda ,unawafungia watu na kuwaambia hakuna kutoka then unasema umeshinda how?

Wangewaacha watu watoke then mpambano field hapo ndiyo utafanya conclusion na kwa kifupi hakuna jeshi lilowahi kushinda zidi ya wananchi wenye hasira...Utaua 200 lakini waliobaki watakufa na wewe ukiwa na bunduki yako mkononi.
Namaanisha wameshinda kwenye narrative ya kueneza vitisho kwa waandamanaji, mbinu ambayo hata mimi sidhani kama ni mwarobaini wa tatizo. Utafanikiwa kuwatisha watu leo kwa mabunduki ila baada ya miaka 5 hadi 10 nchi itakuwa na idadi kubwa ya vijana wasio na hofu. Kwa ufupi kabisa, kizazi cha waoga kinaanza kupotea, na MO29 ni kiashiria kwamba huko tuendapo hakuna waoga tena.
 
Watunga sheria wenyewe ni kina Baba Levo, Asha Baraka, Babu Tale, Musukuma, Hamis Tabasamu, Jah People etc
Kikubwa ni nia iwepo, hata kama vilaza ni wengi bungeni ila kuwa na nia, maana yake ni kuruhusu Mungu kutenda miujiza yake. Na tutakuwa na sheria nzuri na safi sana kwenye maandamano

Nia isipokuwepo, hata ukiwa na Havard graduates bungeni, hakuna kitachotokea.
 
Kwa
Kuyaruhusu na kuyarahisisha maandamano, ndo mbinu nzuri ya kuzuia machafuko yanayotokana na maandamano.

Maandamano yakifanywa kuwa kitu cha kawaida kwa watanzania; basi ustaarabu wa kuandamana utajengeka kwa watanzania; kwa makundi mbalimbali kwenye jamii (wafanyakazi, wanafunzi, wazee, vijana, watoto, wastaafu, wafanyabiashara) kuitumia ili kutoa madukuduku yao.

Kukiwepo sheria na miongozo, maana yake itaelekeza maandamano ya kundi fulani (mfano: wafanyabiashara) kwamba kama yanahusu kodi, basi eneo la kukutania liwe TRA, na ujumbe wa maandamano utapokelewa na kiongozi wa TRA. Vivo hivyo kwa wanafunzi, walimu, wastaafu, wasani n.k; miongozo na sheria itaonesha wazi namna yatavyoratibiwa na namna upande wa serikali utavyochukua ujumbe kutoka kwenye maandamano.

Kwa sasa, japokuwa maandamano yanaruhusiwa kikatiba, ila hayana miongozo iliyowazi; matokeo yake ni yale yaliyotokea MO29; yakawa ni maandamano ambayo serikali na waandamanaji wote wakajikuta wamevunja sheria na machafuko yalitokea.

Kukiwa na sheria na miongozo ya wazi; itakuwa ngumu sana kufika hatua ya kuwa na maandamano yenye machafuko.

Na pia, ukishaweka miongozo na sheria wazi za maandamano; hiyo itaongeza uwajibikaji wa taasisi za serikali ambazo ni walengwa wa maandamano, kama: TRA, Tume ya Uchaguzi, NECTA, Halmashauri, Tume ya Wastaafu n.k kwa sababu sheria itaweka wazi kwamba: viongozi wa taasisi ambazo ni walengwa wa maandamano, wanawajibika kupokea malalamiko ya waandamanaji na kutoa ahadi ya kutatua.

Ikiwa hivo, maandamano yatakuwa ni chanzo kuzuri cha utatuzi wa kero kwenye makundi mbali mbali ya kijamii. Na hii nafikiri ndo maono makuu ya mwandishi wa katiba ya JMT. Kile kifungu cha kuandamana hakikuwekwa pale bahati mbaya.

Mbinu inayotumika sasahivi: ya kuyanajisisha na kuyaharamisha maandamano, ni kutengeneza bomu la machafuko makubwa kwa Tanzania ya kesho, na ikumbukwe kwamba Tanzania ni nchi yenye ongezeko la kasi sana la idadi ya watu, maana yake, intensity ya bomu la machafuko ya maandamano litazidi kuwa kubwa kadri muda unavyozidi kusonga mbele. Kwa sababu, utajikuta hasira za makundi mbalimbali ya kijamii, zinaungana kwa pamoja, ndo sababu utajiuliza kwa mfano, ni kwanini ofisi za TRA ambazo hazihusiki na siasa, nazo zilipigwa kiberiti ile MO29? Hiyo wazi inakueleza ilikuwa ni hasira na kero za wafanyabiashara, walioutumia mwanya wa MO29 kutoa hasira zao.

Tunakosea kuona kwamba mtunga katiba alikosea; maandamano ni haki, na ni wajibu yawekewe sheria rasmi na miongozo.

Wenu
MC
Nchi za kiafrika hasa zile zenye vina saba vya udictator kusubili kulasimisha maandamano , nikujidanganya ,swala hapa lazima lazimishwa kutii mamlaka ya wananchi ,na pia wananchi wawatii mamlaka walizoziweka wenyewe bila shuruti , hakuna mbadala
 
Toka nje sahivi nenda kaandamane kudai hizo sheria barabara ni nyeupe inakusubiri wewe tu
 
Kama MO29 haijawasanua watawala kujiongeza basi wenyewe ndo watakuwa chanzo cha machafuko ya maandamano ya baadae.
 
Toka nje sahivi nenda kaandamane kudai hizo sheria barabara ni nyeupe inakusubiri wewe tu
Acha maneno mengi. Wewe inaonekana mshari! Na mimi watu washari huwa hatuivi chungu kimoja. Haya mambo hayahitaji jazba na mihemko kama ulizo nazo wewe. Kama huna hoja si upite kimya. Halafu una bahati siju kutukana, ungekuwa unaoga matusi yakutosha.
 
Back
Top Bottom