Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakuna aliyetarajia kuwa Mbowe angekosa hekima katika kufikia maamuzi ya ama kugombea au kupumzika, mpaka iliposhuhudiwa leo. 1. Kwa kuzingatia misingi ya demokrasia, Lisu alistahili kushindani...
11 Reactions
53 Replies
2K Views
https://youtu.be/7baghlq6T8w?si=apJo8DeSrPKaHeZA John Nchimbi, mdogo wake Emmanuel Nchimbi ametekwa. Habari zinakuja bila ufafanuzi.
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Akizungumza leo Septemba 15, 2026 katika mjadala wa Siku ya Demokrasia, Jenerali Ulimwengu amesisitiza kuwa ili kuwajenga vijana na kulinda demokrasia, ni lazima kusema iseme ukweli na kudai...
6 Reactions
7 Replies
356 Views
Tuhuma hizo kazitoa dakika kama 18 zilipita kupitia mtandao wa X akidai kuwa Lema hatuko nae tena(sio mwenzetu). Hiyo clip ina tuhuma nyingi na zinazogusa watu wengne kwahiyo siwezi kuiweka hapa...
15 Reactions
102 Replies
2K Views
Ukiangalia safari ya Tanzania kwa miaka yote hii, ni vigumu kuzungumzia historia ya taifa letu bila kuitaja CCM. Chama hiki kimekuwa sehemu muhimu ya uongozi na maendeleo ya nchi, na kimepitia...
2 Reactions
7 Replies
57 Views
Upande wa Jamhuri umeendelea kumfanyia cross-examination Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Katika maswali...
0 Reactions
1 Replies
62 Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima, amesema taasisi za dini haziruhusiwi kisheria kwenda kwenye vituo vya kura kuangalia mchakato wa upigaji kura...
2 Reactions
1 Replies
88 Views
Hawa wengine ni waigizaji Kama mnabisha wakati utasema Hata Mange ni afisa muulize kwanini aliingia mitini kabla ya uchaguzi ? Huyu ndiye chanzo Cha watu kuuawa October 2025 . Yule pia wa...
4 Reactions
6 Replies
98 Views
Wanabodi Tukubali tukatae watu hatulingani, kuna watu wana nguvu fulani za unabii kama wa upako fulani, wakilisema jambo, linakuja kutimia!, kauli zao ni ama zina power ya umbaji ndani yake...
20 Reactions
81 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA Taifa, Lembrus Mchome, amesema mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeibua mijadala...
1 Reactions
36 Replies
680 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nafikiri hadi sasa wana CHADEMA watakuwa wameanza kufunguka akili na kuelewa mambo yalivyo juu ya unyonyaji mkubwa na ulaghai wanaofanyiwa na viongozi wao aina ya akina...
5 Reactions
41 Replies
329 Views
Hamjambo! Nitaendelea kutoa elimu humu kilazima lazima. Najua vipo vichwa vyenye moshi havipendagi. Nyuma ya pazia la utawala niliwahi kugusia mada hiyo kwa uchache. Nikijaribu kuwaambia wale...
6 Reactions
23 Replies
334 Views
Hellow wana JF. "Siumwi, sina kichomi wanao niombea mabaya watatangulia wao mie nitashiriki mazishi yao". JK.
22 Reactions
115 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Bernadetha Kafuko, amesema Tanzania inahitaji kuwa na mifumo madhubuti ya mazungumzo na kuheshimu tofauti za kimtazamo, kisiasa na kimfumo...
0 Reactions
1 Replies
77 Views
Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea huku John Heche akitarajiwa kuendelea kutoa ushahidi Mahakamani Sept. 11. 2026 ambapo jana Septemba 10 Mahakama Kuu ilikataa ombi la mshtakiwa Tundu Lissu la...
18 Reactions
254 Replies
7K Views
1. Elimu Elimisha kizazi kimoja kwa zaidi ya miaka 10, uone jamii hiyo itakavyoathirika. Elimu hiyo iathiri tabia zao, dini, utamaduni na vyombo vya habari hadi kugeuza uelekeo wao na mtindo wa...
0 Reactions
0 Replies
57 Views
  • Redirect
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA Taifa, Lembrus Mchome, amesema mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeibua mijadala...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Featured
Akizungumza katika mahojiano na M & S Podcast yaliyorushwa Septemba 9, 2026, Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa Chama cha ACT-Wazalendo, Janeth Rithe, ameeleza kuwa mazingira ya sasa ya kisiasa...
18 Reactions
28 Replies
1K Views
Siku ya Demokrasia Duniani huadhimishwa tarehe 15 Septemba kila mwaka. Siku hii ilitengwa rasmi na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) mwaka 2007 kwa lengo la kuhamasisha na kulinda misingi ya...
1 Reactions
3 Replies
105 Views
Back
Top Bottom