Nchimbi ni bora umewawahi hawa watu

Nchimbi ni bora umewawahi hawa watu

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,698
Reaction score
7,884
Li nchi linakwenda zigzaga utafikiri halina jeshi.

Kikundi cha watu kinaendesha nchi upumbavu mtupu.

Kwa katiba ilivyo akitokea Kiongozi kichaa anaweza kuwaamuru hata jeshi lifanye jambo la ajabu na jeshi likatii...
 
Mpishi alitumwa kwenda kumuua kupitia chakula, mpishi akazingua, wakuu wakaona huyu ameshajua nia yetu hvy tupite nae, jamaa akaona eh ngoja na mm nisepe kabla wakuu hawajanichinja kama mpishi
 
DUU
 
Hili nalo neno. Ni kama Ile "Mbwa wa Kingunge Ngombare Mwiru a k.a Chuma"
 
Kuna dalili katiba mpya ikaja kwa kumwagika damu
Tanzania hatutafikia hatua ya katiba mpya hivi hivi wakati katiba mpya haiwapi favour wanao enjoy nchi.

Lazima tupitie katika tanuru la moto ndiyo nchi itakuja ku stablize kwanza nchi yetu haijawahi pitia misuko suko zaidi ya uchaguzi uliopita. Tulitaka kuruka stages.

Hata nchi zilizotulia hazikufika ghafla ghafla tu,watu walinyooshana na heshima ikawepo.

Nchi hii haitatulia kwa maneno matupu. Nakuunga mkono kauli yako,na bila hivyo katiba mpya itabaki kuimbwa miaka 100 mbele.

Sasahivi wanaangalia succession zaidi; sidhani kama watakuja kukosea kama ya JPM tena.
 
Madhara ya kubugia matamba kwenye chinduli haya.
 
Mpishi alitumwa kwenda kumuua kupitia chakula, mpishi akazingua, wakuu wakaona huyu ameshajua nia yetu hvy tupite nae, jamaa akaona eh ngoja na mm nisepe kabla wakuu hawajanichinja kama mpishi
Kwahiyo tiseme ripmupishii ama?
 
Back
Top Bottom