Mfumo mkubwa wa Taifa ni ule wa kushindanisha watu wenye ubora KATIKA viongozi Bora zaidi KATIKA haki na ukweli.
Maendeleo yanatokana na ushindani wa kutafuta kitu kilicho Bora zaidi
Kuua...
Tunashuhudia wahitimu vilaza mno wasiojua kutofautisha R na L ...lakini waliokosa uzalendo na wenye matusi kwenye mbongo zao na ndimi zao.
Kwangu mimi haya ni matokeo ya kuifanya Elimu kuwa ni...
Na Nulphin Charles, Katibu Mstaafu Kanda ya Serengeti
Mijadala katika mitandao ya kijamii imechukua sura mpya baada ya Mange Kimambi kutoa kauli za dharau kwa viongozi wa CHADEMA. Hii imefuatia...
Wewe waziri Dk Gwajima kinachofanya mpaka leo ndoa za kimila hazina cheti halali ni nini?
Kwa sasa ili ndoa ipate cheti ni lazima iwe ya kanisani, msikitini au kiserikali tu ,swala hili...
Dunia nzima inaamini demokrasia ni mfumo wa kuwafanya wawe huru kufanya kitu wanataka. Demokrasia bado ni mfumo wa unyonyaji,huku ukikupa uhuru wa kumchagua mtu wa kukunyonya kwa muda wa miaka...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali...
Japo najua mtu ukiwa mkweli sana, sometimes ukweli unaweza kukuponza!, ila nilidhani ukweli una wacost malofa tuu na makapuku, sikujua kama unaweza...
Wanabodi
Leo usingizi umekatika usiku wa manane, na saa hizi ninapoandika hapa, nasikia adhana ya swalaa swalaa, yaani tayari ni alfajiri, nilikuwa nasikiliza mahubiri fulani online, mara...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo nikiizungumzia Ripoti ya Jaji Chande ni hatua moja mbele, ripoti hiyo imepooza tuu kiu ya kujua kilichotokea, ila haijakata kiu ya...
Kama ilivyo kwa AIR TANZANIA sasa ni muda muafakq wa kuunda na kununua meli kubwa za mizigo ili kurahisisha utoaji wa mizigo nchini kuelekea nchi za nje.
Shipping line hii imilikiwe na serikali na...
15 September 2026
Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani, yaliyofanyika leo Septemba 15
LIVE: JOHN HECHE ANAZUNGUMZA MUDA HUU MAKAO MAKUU YA CHADEMA
https://m.youtube.com/watch?v=lFT4XNZsv50...
Leo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja...
Kwanza kabisa, heshima kwa kazi mnayofanya. Kiukweli mmeziba gap kubwa sana kwenye mapambano dhidi ya dhulma, ufisadi, uonevu, uchawa, watu kutekwa, kupotezwa na kuuwawa.
Zamani sehemu kubwa ya...
TANROADS YATANGA BARABARA SITA ZA PPP KUUNGANISHA MIKOA YA DAR, PWANI, DODOMA, SINGIDA NA TANGA KM 969.
Katika hatua nyingine kubwa ya kuharakisha maendeleo ya miundombinu na kuimarisha ukuaji...
Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.
Ametoa kauli hiyo jana (Jumanne, Septemba 15, 2026) wakati akizungumza na wananchi wa...
Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe vitambulisho. Lakini tunapokuwa tumetoa kitambulisho, halafu mhusika haendi kuchukua, haya...
Boksi la Pandora kuhusu mauaji ya October 29 limeanza kufunguliwa leo. Hili boksi lina mambo mengi machafu. Lissu kuanza kulifungua kupitia ushahidi wa Heche ana makusudi makubwa sana.
Imagine...
Sina neno tena, kama mahakama ilikiri ushahidi uliotolewa haukuwa na maana yoyote ila wakaforce kesi ya kujibu ipo basi watafutane wenyewe hapo mahakamani wajibu kesi yao.
Kongole kwao japo siwapendi
Watanzania wenzangu, hebu tujiulize kitu kimoja tu: kama sisi wenyewe tusiipende Tanzania yetu, nani atakayeipenda kwa niaba yetu?
Kuipenda nchi yako si lazima uwe kiongozi, uwe na mali nyingi au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.