Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mtu yeyote anayesahau alikotoka anayohatari ya kurudia makosa yake. Leo tuwaangazie mawaziri wetu wa mambo ya ndani katika awamu ya sita kujua tulipotoka, tulipo na kama tuna la kujifunza huko...
6 Reactions
25 Replies
828 Views
Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi. Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au...
12 Reactions
48 Replies
2K Views
Where are you? What are you doing over there? When you will be back? Tumemiss mipasho yako Amka njoo tusemezane!!
3 Reactions
13 Replies
421 Views
PUBLIC NOTICE The Inquiry Commission, established to investigate the violence unfolded during and after the October 29 General Election wishes to inform all citizens that it has officially...
3 Reactions
31 Replies
867 Views
Sijui kama ni makusudi, bahati mbaya, au kwasababu ya kelele za mitandaoni? Updates Ameandika Askofu mwamakula JE, NANI ANAMSHIKILIA MHE. MWAMBE? Taarifa zinaenea mitandaoni kuwa aliyekuwa...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
Ni kama ambavyo yule alietaka kumtanguliza Lissu ahera, badala yake katangulia yeye huku Lissu akiwa bado yuko katika uso wa hii dunia. Tena si ajabu Lissu akaja kuwa Raisi wakati huo mtesi...
17 Reactions
17 Replies
556 Views
Dah! Watanganyika kazi tunayo. Halafu mtu bado anasema mitano tena. Nyie mnayemshabikia huyu mama hivi kweli mna akili? Yaani mtu anaifisadi nchi na mkisema anawapoteza. Juzi kaua watanzania...
3 Reactions
9 Replies
472 Views
Kwa mujibu wa wakili Hekima Mwasipu amesema mteja wake aliachiwa kwa dhamana mnamo Desemba 14, 2025 Mwambe ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Viwanda na biashara, alikuwa anatuhumiwa kwa makosa mawili...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
J.K. Rowling ni mwandishi, mtayarishaji wa filamu, na mwandishi wa skrini Mwingereza, anayejulikana zaidi kwa kuandika mfululizo wa vitabu maarufu sana vya Harry Potter ,akizungumzia dhana ya...
1 Reactions
2 Replies
263 Views
Ni ajabu kuwa HabariLeo wameiweka hii taarifa Instagram wakaifuta haraka baada ya kupata comments nyingi toka kwa wananchi. Mbona sio kitu cha siri? Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Mh Rais Samia Suluhu Hassan Nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Awali ya yote nianze kwa kukutakia uzima na afya katika kutekeleza majukumu yako. Baada ya salamu hizo nije...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani...
17 Reactions
395 Replies
18K Views
Hili ni wazo langu kama mto Rufiji ulivyojengewa bwawa,hawawezi kuujengea na Mto Wami bwawa ili uweze kuhifadhi maji kipindi chote cha masika kuliko kuacha maji ya mvua yakipotelea baharini...
0 Reactions
2 Replies
167 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila wakati wa kutoa takwimu za hali ya Mto Ruvu, katika mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu Juu uliopo Bagamoyo mkoani Pwani aliwataka mameneja wote wa...
4 Reactions
57 Replies
1K Views
Huyu mwanadada ukubali ukatae anajua kujenga hoja, kushawishi na kuelimisha. Mange Kwa kutumia Instagram ameweza kubadilisha kabisa political atmosphere ya Tanzania. Ameweza kumtia adabu Samia...
20 Reactions
33 Replies
781 Views
Hapa bado kwa walitajwa hapa! Binafsi namtazama zaidi Dotto Biteko na bila shaka kuteuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu ilikuwa ni kupata uzoefu zaidi! Ila tusubiri tuone ila kwa Makonda kazi...
0 Reactions
36 Replies
1K Views
(1) Largest country in Africa by land mass - Algeria 🇩🇿 2) Largest country in Africa by population - Nigeria 🇳🇬 3) Largest movie industry in Africa - Nigeria 🇳🇬 4) Largest democracy in Africa -...
2 Reactions
3 Replies
305 Views
KUNA UKIMYA UNAITWA KUKUBALI KUTOKUKUBALIANA Waswahili husema kubali yaishe, JAMBO hili linaweza likawa na AFYA kwa SIASA za Africa? SIJUI. Ukimya uliolazimishwa ni kama hewa chafu — inaua...
10 Reactions
36 Replies
594 Views
Binadamu mwenye akili hulinda nafsi yake dhidi ya kifo, huepuka vitu hatarishi vinavyoweza kumsababishia kifo. Acha kujihusisha na makundi hatarishi kama vile wapanga vurugu, wanaotaka kufanya...
-2 Reactions
22 Replies
446 Views
1. Ni jukumu la kwanza la JWTZ kuilinda Katiba na Serikali ya Samia na CCM wameivunja Katiba kwa kiwango cha kutisha sana. Kwenye hili Katiba inaweka jukumu la msingi kwa Serikali kulinda uhai na...
15 Reactions
60 Replies
2K Views
Back
Top Bottom