Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Matatizo makubwa ya nchi yanasababishwa na kuficha ficha tatizo halisi badala ya kuliweka hadharani ili litafutiwe suruhu Ukimsikiliza Prof. Mkenda, waziri mwenye dhamana ya elimu Tanzania...
0 Reactions
6 Replies
239 Views
Serikali ya mama yenu Samia imeharibu nchi yetu na kuwaacha wengi na hasira na majozi hii haikubariki kamwe. Anasingizia watu kesi za uongo, anaweseka gerezani watu wazuri, anauwa watu wazuri...
5 Reactions
6 Replies
203 Views
GT. CCM imejaa unyama haina ubinadamu hata kidogo. Hakuna mtanzania yupo salama chini ya CCM. Ni chama kinachohatarisha maisha ya kila mtu. CCM inatakiwa ipingwe kwa nguvu snaa kwa usalama wa...
1 Reactions
1 Replies
169 Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amethibitisha kwamba Mhadhiri wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), alikamatwa kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano kinyume na sheria. ‎ ‎Kwa mujibu wa...
2 Reactions
14 Replies
543 Views
Uzi huu hauna lengo la kukashifu wala kuchochea,bali kutaka kujua tu orodha kamili ya kile alichokisema Mheshimiwa sana na mzalendo pekee kwa sasa katika Taifa hili. Nanukuu sehemu ya hotuba...
58 Reactions
464 Replies
60K Views
Msikilize Deus Kibamba ambaye ni Mchambuzi wa Mambo ya Siasa na Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia na Mkurugenzi Mtendaji Kituo Cha Taarifa Kwa Umma akifafanua kuhusu faida za Mbunge anazopata ndani...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hizo doria zinafanyika kipindi cha shida tu! Yani DAWASA utendaji wenu unatia mashaka kabisa ================== Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imeendelea na doria ya kukagua vyanzo vyake vya maji...
2 Reactions
16 Replies
409 Views
Clemence Mwandambo ameendelea kuwasha moto, hajapoa hata kidogo Leo kupitia ukurasa wake wa Instagram amehoji TAKUKURU wanayatambua kweli majukumu yao, maana wao wamekuwa ni watu wa kupokea oda...
3 Reactions
12 Replies
451 Views
Jamii yetu ya watanzania inapaswa kuwajibika na kuomba radhi..kwani tuliwaacha watoto na vijana wetu kwa muda wa takribani miongo mitatu hivi bila kuwapa muelekeo. Hatimaye adui akaja na kuwapa...
1 Reactions
6 Replies
139 Views
Uzi huu ukipuuzwa msije sema hamkujua Mahindi kidogo yaliyopatikana yanatoroshwa nchi jirani,mavuno hayakuwa mazuri,tutegemee njaa. Huwezi kupiga kampeni au upige kura na njaa tumboni. Mioaka...
8 Reactions
71 Replies
3K Views
ICC iharakishe hiyo kesi ili hawa wapumbavu tuwatimue
8 Reactions
23 Replies
583 Views
Hizi timu kwa kweli ni kama zimekosa uongozi na bado zinatuaminisha zinatumika kisiasa. Maelfu ya watanzania wamekufa kati ya tarehe 29 oct jadi 3 Nov. Ambao yumkini wengi ni baadhi ya mashabiki...
3 Reactions
21 Replies
503 Views
Bandari ya Mombasa inakumbwa na msongamano usio wa kawaida wa meli, ambapo meli 28 zipo kwenye foleni huku idadi inayoongezeka ya wauzaji wa mizigo wakiamua kuhamisha huduma zao kutoka Bandari ya...
13 Reactions
55 Replies
2K Views
Kwa hali iliyopo sasa nchini Tanzania hatuna budi kufanya kama walivyofanya Urusi baada ya kuanguka kwa Shirikisho la Kisovieti (USSR). Inakumbukwa baada ya kuanguka kwa shirikisho hili Urusi...
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Huu ni muhtasari wa athari za kiuchumi za kuzimwa kwa mtandao Tanzania siku na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 ▪︎ Nini Kilitokea? •Tanzania ilikumbana na kuzimwa mtandao nchini kote wakati na...
3 Reactions
11 Replies
446 Views
Kongamano kubwa zaidi duniani la kupambana na rushwa limemchagua Mhe. Naimi S.H. Aziz, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa, Vienna kuwa Makamu...
0 Reactions
7 Replies
232 Views
He lives a very laxurios life of travelling.! Currently he has one mission that is to smear the image of Tanzania as a tourist destination. He is supposedly undercover operative who use CNN to...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Mtu yeyote anayesahau alikotoka anayohatari ya kurudia makosa yake. Leo tuwaangazie mawaziri wetu wa mambo ya ndani katika awamu ya sita kujua tulipotoka, tulipo na kama tuna la kujifunza huko...
6 Reactions
25 Replies
828 Views
Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi. Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au...
12 Reactions
48 Replies
2K Views
Where are you? What are you doing over there? When you will be back? Tumemiss mipasho yako Amka njoo tusemezane!!
3 Reactions
13 Replies
421 Views
Back
Top Bottom