* Mtu mzima unakaa kwenye keyboard siku nzima kuandaa na kusambaza habari eti Fulani na fulani kafa.! Halafu kesho yake wanonekana.
* Mtu mzima unakaa kwenye keyboard siku nzima kuandaa na...
1. Maria nimekusikia vizuri kabisa juzi tarehe 11 unashauri watu wakinukishe popote pale wakipata nafasi , iwe kwenye daladala iwe mtaani halafu washuke chap wakimbie, sasa ni hivi mdada , kwa...
"Tumedhamiria kufanya kazi. Tumefanya kazi mmeiona na tunajiamini kwamba tutaweza kufanya tena kazi kipindi cha pili cha awamu ya sita, kazi ya kuonekana kwamaana hiyo niombe mtuchague Chama Cha...
Yaani chama ambacho kiligomea uchaguzi leo hii kinatamka hakimtambui Rais halafu kinajitanabaisha waziwazi kuunga mkono uhaini na jaribio la mapinduzi.
Bado chama hiki kina vigezo vya kuwa chama...
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewatoa hofu Watanzania kwamba, wasiogope kwenda kupiga kura Oktoba 29, 2025, kwamba yeye ni Amiri Jeshi Mkuu wa nchi na kibati...
Nakumbusha CCM mlikataa mabadiko ya katiba kwa umoja wenu mkiamini mnawakomoa CHADEMA, sasa msitupigie kelele mna mchango mkubwa kwa yaliyopo sasa
Yaani nyuma ya pazia kelele ni nyingi sana za...
Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo, ametembelea mradi wa Umwagiliaji uliopo wilayani Masasi mkoani Mtwara ikiwa moja ya muendelezo wa ziara kwa Taasisi za Wizara ya kilimo ambapo...
Jana (December 11, 2025) Serikali ya Bulgaria ilijiuzulu kufuatia weeks za street protests dhidi sera zake za kiuchumi na kushindwa kudhibiti corruption. Nawapongeza sana Wabulgaria kwa hili. In...
Kupitia mradi wa Mahindra Tec na ununuzi wa genereta kutoka Usa Januari Makamba alipiga bil 85 jumla.
Huyu Angela Kiziga ndio alijichotea kabisa pesa za Watanganyika bil 60 bila hata kutoa...
Nay wa mitego, Rosa Ree, Wakazi, Sugu na wasanii wengine wanaosapoti upinzani wasapotiwe na makada wenzao ili wazibe pengo lililopo. Hakuna haja ya kuwalaumu wasanii waliokisapoti chama pendwa CCM...
Wanaukumbi.
HAWA NI WENDAWAZIMU KABISA
Yaani tunapokuwa tunasema CHADEMA ni kikundi cha watu wajinga sana muwe mnaelewa..
1. Wanakataa kutambua matoke ya uchaguzi ambao hawakushiriki na...
Serikali haitaki ikosolewe wanachotaka ni kusifiwa hata pasipostahili. Wanataka ku paralyze taasisi zote za kiraia kama walivyofanya kwenye taasisi za umma.
Hakuna chombo cha habari kilicho huru...
Mimi si mpenzi sana wa " Nabii" , "Askofu" Josephat Mwingira kwani mambo yake mengi yana figisu nyingi.
Tuhuma alizozitoa Mwingira si ngeni kusikika, kuwa alinusurika kuuwawa na mali zake...
Urais wako unakoma Oktoba 2020, hebu hata wewe jitathimini Kama kweli unafaa kuendelea kuongoza watanzania.
Hapa ulikolifikisha Taifa yatosha kabisa ,heshima yako itabaki pale pale Kama Rais...
Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa?
Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia...
Habari Watanzania, lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa nia mbaya ila nikutaka tu kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanaoshuku kuwa Hayati Magufuli kafanyiwa hujuma.
Baada ya kuona mambo...
Kimsingi akili mwili na roho yangu vinagoma kuamini Ben sanane na Azory gwanda sitawaona milele Yani siamini kabisaaaa.
Mpaka kesho nitajiuliza kwanini Mungu amewatwaa watu Hawa Kama nabii eliya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.