Taifa letu limepitia uharamia, ushetani na ukatili wa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa. Mauaji haya yamefanywa kwa amri ya watawala, watawala wameyabariki na wameyatetea kuwa ni mauaji...
Kupitia taarifa kwa umma niliyoambatanisha hapa, Mahakama Kuu itaenda likizo kuanzia jana Desemba 15 - Januari 31, 2026
Muda wote mahakama kwenda likizo ni matumizi mabaya ya muda na ni maumivu...
Iwe ni moja kwa moja ama kwa mafumbo, utagundua kuwa ingawa CCM imo kwenye uchaguzi inashindana na vyama vingine, lakini wana CCM wenyewe wanajua msindani wao halisi ni CHADEMA.
Fuatilia hotuba...
Oktoba tunatiki walikuwa wanahimiza watanzania wakapige kura, wakati No reforms No election walikuwa wanahimiza watanzania wasipige kura kama hakuna marekebisho ya Katiba na Sheria za uchaguzi...
Luhaga mpina aliposema kuwa watu wa Kisesa bado wanamdai Samia Suluhu Hassan maendeleo, baadhi ya wana CCM walilipuka kwa hasira mithili ya Volkano.
Kama wana CCM waliamini kuwa Samia Suluhu...
kwa mazingira ya kisiasa ya sasa suala la katiba mpya ni suala la kiusalama serikali ipambane kuifumua iliyopo ili kujenga mazingira mapya ya kisiasa na kuridhiana. chonde chonde mchakato wa...
Wakuu
Naomba hii picha ikumbushe watawala kwanini watu wamekisusa chama chao
Hata ingekuwa wewe upo kwenye ballot box, kwanini usichague jiwe ukaiacha CCM?
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel akizungumza na Wananchi Mkoani Kilimanjaro amesema hakuna Rais aliyefanya makubwa ndani ya miaka minne kama alivyofanya Rais Samia.
Upande wa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
▪️MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KAMPASI YA UDSM - KAGERA
▪️ASISITIZA KAMPASI HIYO IWE KITOVU CHA UVUMBUZI NA UBUNIFU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Songea mkoani Ruvuma tarehe 15 Desemba 2025.
Makamu wa Rais anatarajia...
Itafika wakati wataanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe na kutoana roho, kwasababu wamechagua njia ovu kila mmoja atataka yeye madaraka. kwa njia zao za kishetani.
Huku ndipo tunapoelekea...
Hamjambo wote!
1. Wale wataalamu wa Social engineering huu ndio wakati wao kufanya kazi. Wapewe mpunga wa kutosha wafanye kazi.
2. Serikali na vyombo vya dola lazima ichukue hatua za ziada, za...
Kwa mtumiaji yoyote wa mtandao wa X na ambae anafuatilia taarifa za mtu anaeonekana kuwa ni mwanaharakati katika mtandao wa X anaetumia jina la "Tanzania leaks"atakubaliana namu kuwa huyu mtu...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa wito kwa Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, akisisitiza kuwa kususia uchaguzi ni kosa kubwa...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe katika andiko lake katika mtandao wa X siku ya Jumapili, Julai 6, 2025.
"Watanzania wameichoka CCM. Watanzania wanataka mabadiliko...
Itakumbukwa kwamba mwaka 2013 nilivuliwa nafasi za uongozi ndani ya chama cha upinzani CHADEMA, na Machi 2015 nilifukuzwa rasmi na chama hicho. Katikati ya kufukuzwa kwangu ni waraka ulioandikwa...
Wakuu habari zenu!
Sasa hv kila kona ya Dar-es-salaam ukipita unaona hali ni mbaya mno katika upatikanaji wa Maji safi na salama. Jiji la Dar-es-salaam halina mito ya asili ambayo inaweza kuwa ni...
Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 nchini Tanzania umepita, Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya Urais, Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangazwa Mshindi kwa kupata Kura Milioni 31 sawa na takribani...
Anaandika Godlisten Malisa
Hii inaweza kuwa political spinning tu. Kwenye strategic communication & media framing kuna kitu kinaitwa “biased interpretation” yani kutafsiri picha kwa upendeleo ili...
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Baraka Leonard, amethibitisha kuwa kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, marehemu Jenista Mhagama, kimesababishwa na maradhi ya Moyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.